Dkt. Mahera mgeni Maalum TCD, kutoa mada kabambe kuhusu Demokrasia, Haki na Uchaguzi Huru

Charles Mahera ni mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi, siyo mwenyekiti (Mwenyekiti ni Jaji Kaijage). Pia hiyo tume inaitwa Tume ya uchaguzi na siyo Tume huru ya uchaguzi.

Bado hatujawa na Tume huru ya uchaguzi. Tume huru ya uchaguzi haitakiwi kuwa na wajumbe wanaoteuliwa na mwenyekiti wa CCM, kama hao akina Charles Mahera (mkurugenzi) na Mwenyekiti wake Jaji Kaijage. Watakuwaje huru watu kama hawa.
Umetoa elimu kubwa sana
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Kweli kabisa naamini zito ni snitch
 
Mbowe na chadema wanaakili sana imagine kama chama cha SAU eti hakitaki mikutano ya hadhara sasa unajiuliza kwani hata wangeitaka wangemhutubia nani? Nani ataenda Kwenye mikutano ya ADA TADEA au UDP ? au TLP?
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
MPUUZI aliyevuruga uchaguzi anapotoa elimu ya demokrasia, hii ni kejeli.
 
Mahera is a senior officer of the Government, occupying a sensitive position under the constitution. Si sawa kumbeza. Kama si huyu kutoa mada atoe nani? He is going to share his experience, discuss the Tume's work methods, and participate in Q&A. Who can be better than him? Out traitors are out of touch with reality. Ni sawa na kumtukana shangazi, kama si baba mwenyewe. Shame.
Sinia wa nyoco
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Baadhi ya picha zinaoonekana katika ubora wake pale zinapokuwa "zoomed"
Screenshot_20220319-155016.jpg

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Duh!! Maweeee...
 
Hizi siasa za kijinga jinga za kina Godbless Lema hawa na IQ zao ndogo ndo zimeua kabisa CHADEMA!
Watu ambao hawajui kuishi na kujenga hoja dhidi ya watu ambao wanatafautiana nao.
Inatia aibu sana kwa Taifa eti kina Godbless Lema, Mdude Nyangali ndio think tank ya CHADEMA kwa sasa.
CHADEMA imekosa focus na kuwa chama cha kuzira vikao,chaguzi, kudhalilisha watu , kudhalilisha na kupambana na wanawake kama akina Halima Mdee na wenzake na pia kumshambulia Zitto Kabwe basi.
Li CHAMA la kijinga sana CHADEMA! na kina viongozi na wanachama mediocres sana!
 
Back
Top Bottom