Dkt. Mahera mgeni Maalum TCD, kutoa mada kabambe kuhusu Demokrasia, Haki na Uchaguzi Huru

Hizi siasa za kijinga jinga za kina Godbless Lema hawa na IQ zao ndogo ndo zimeua kabisa CHADEMA!
Watu ambao hawajui kuishi na kujenga hoja dhidi ya watu ambao wanatafautiana nao.
Inatia aibu sana kwa Taifa eti kina Godbless Lema, Mdude Nyangali ndio think tank ya CHADEMA kwa sasa.
CHADEMA imekosa focus na kuwa chama cha kuzira vikao,chaguzi, kudhalilisha watu , kudhalilisha na kupambana na wanawake kama akina Halima Mdee na wenzake na pia kumshambulia Zitto Kabwe basi.
Li CHAMA la kijinga sana CHADEMA! na kina viongozi na wanachama mediocres sana!
Hii inahusianaje na huu uzi ?
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Shetani anapowafundisha watu kuwa watakatifu!!
 
Nikimuona huyo jamaa huwa naikumbuka ile picha yake yuko na Magufuli kaweka mikono mbele kama anapelekwa kwa pilato.
1647700658621.png
 
Kila mmoja yuko kazini kwake, Kila mmoja atimize yake. Zzk anamajukumu yake, mahera ana yake, CHADEMA nao wanayao wasiombe huruma sana, haitawasaidia. Siasa sio romantic kama Mwenyekiti wa Chadema anavyodhani.
Majukumu yapi?
 
Mahera is a senior officer of the Government, occupying a sensitive position under the constitution. Si sawa kumbeza. Kama si huyu kutoa mada atoe nani? He is going to share his experience, discuss the Tume's work methods, and participate in Q&A. Who can be better than him? Out traitors are out of touch with reality. Ni sawa na kumtukana shangazi, kama si baba mwenyewe. Shame.
Povu la nini Mahera? Imani nawe haipo, ilishakwisha sawa na Shangazi mchawi.

1647701397956.png
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Huyu Mahera kwa madudu aliyoyafanya 2020 alitakiwa kuwa jela. Ila Kuna siku atajutia,wanaomkumbuka Samuel Kivuitu aliyekuwa mwenyekiti wa NEC ya Kenya 2007 na madudu aliyoyatenda alikufa kifo cha upweke sana.
 
Huyo ndo aliratibu ule uchaguzi mkuu2020,
jamani watanzania tuweni siriazi Kama tunaitaka tume huru na katiba huru.

Swali la kujiuliza Ni kwanini? tunaitafuta tume huru, kwani inamaana iliyopo sio huru?
Kama iliyopo sio huru na haikuweza kusimamia uchaguzi mkuu2020 bas huyo Dr. Mahela aanze hotuba yake kwa kusema vile tume isivyo huru akifanya hivyo hakika itasaidia kuipata tume huru,

Tofauti na hivyo wapiga kura wakanunue KY itawasaidia wapate kilainishi kupunguza maumivu ya 2025 Tena.
Mkuu mikutano kama hii ndio chanzo cha matumizi mabaya ya kodi za Watanzania. Kwa sasa TZ wenye Mamlaka hawapendi na hawataki vyama vingi. Hivyo hizo pesa ziende kwenye bajeti ya maendeleo ya elimu, bado hadi leo huku vijijini watoto/wanafunzi wanalundikana darasa moja zaidi ya watoto 50.
 
Tume huru na katiba mpya zitakujaaje bila mikutano?
 
Polepole alisema tupambane kukataa wahuni sasa sijui huyu mhuni hamuoni?

CCM hamuoni aibu kumleta huyu kuwadi wa wizi wa kura 2020 na kumnadi kama mgeni rasmi!

Shame on you.
 
Mkuu ni kweli mikutano ndio moja ya njia kuu ya mawasiliano katika kujenga jambo ama miafaka kama hayo uliyo yaeleza, lakini tatizo ni wajumbe wa hiyo mikutano. Je wapo kwa masilahi ya wote? Je wana uwezo wa ku-declare intrest zao?
 
Hii inahusianaje na huu uzi ?
Mkuu watu wa aina hiyo ndio tulionao leo hii. Ndio Viongozi wetu. Mtu badala atoe hoja na ushauri anatoa mawazo yake kwa mtazamo wa umimi. Hawa kila Rais aliyepo madarakani ndie bora kuliko Marais wote waliopita/waliomaliza muda wao. Hawaelewi/hawajui kuwa Rais anatekeleza sera za chama chake, na kwa bahati mzuri/mbaya Chama kilichopo madarakani ni kile kile tu tangia Uhuru. Watu wa aina hiyo ndio wafuata upepo ili mradi tonge liingie kinywani
 
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Shame on this guy!
 
Huyu jamaa ametia fora kwa kuiba kura za wapinzani na kuwadhulumu. Sijui hata nafsini mwake anajisikiaje? Does he have no counscious? Does he have inner peace for what he have done? Ni kama Jecha tu... mpaka anakufa hatokuwa na amani
 
Back
Top Bottom