Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:

1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.

TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Unajiita Team JPM, halafu unataka upumbavu wako utamalaki humu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team JPM "2020 Ushindi Mapemaa".. huyu Mkuu anatufaa sana...Kwa maendeleo ya Taifa letu... Habari za kazi na bata labda 2045 tukipata ROI
 
Mtaje basi Rais wako bora kwa Afrika, 2019 kama Dr. JPM humkubali. Afrika nzima na dunia inajua, Tanzania INA Rais Bora wa Afrika,
To be fair. Ethiopian PM Mr. Abiy Ahmed, maybe and the Kenyan President Mr. Uhuru Kenyatta.
 
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:

1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.

TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Kutembea Kifua Mbele bila ya kuwa na huakika wa Kupata lishe bora, Kupata matibabu ya uhakika, Kupata elimu Bora sio Bora elimu na Kupata Makazi salama na ya uhakika ,, ni uboya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sEMA UNAMTAKIA SIYO TUNAKUTAKIA! Usisemee nafsi za wengine. Kuhusu "ubora" si kweli,vinginevyo angepata hata tuzo ya Mo Ibrahim.Labda kama ni bora rais na siyo rais bora!
 
Hakuna haki bila mipaka, nchi zenye maendeleo makubwa hapa duniani ni zile zinazozuia haki Fulani Fulani hivi. Peleka haki China uone kama hawajahujumiwa na mabeberu, kupanga ni kuchagua, haki au maendeleo.
Wakati unaona Tanzania JPM kazuia haki, Tanzania bado ni kimbilio kwa wananchi wa Afrika. Zamani tulikuwa nafasi ya pili baada ya South Afrika, kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kupendwa na wageni.
Usipotoshe watanzania,DR. JPM ni Rais Bora Afrika kwa 2019. Tumuombee afya njema na 2020 tumchague tena
Huo ubora utakuwa wa ukweli na wala sio wa kinafiki kama hatima ya watu kama Benny Saanane, Azory Gwanda itajulikana kwa sababu wawili hao wametoweka yeye akiwa madarakani.

Vile vile swala la waliomjeruhi Tundu Lissu atueleze ni kwa nini hawajachukuliwa hatua za kisheria hadi leo.

Nina wasi wasi majibu ya hizo mysteries yasipopatikana leo huenda ika-interfere na maisha yake ya baadaye kama ilivyo sasa kwa Omar Al Bashir kile Sudan na ukumbuke hata Al Bashir kabla haya yanayomkumba leo hayajatokea wala ilikuwa haimuingii akilini kuwa yangeweza kutokea.

So he better take care because nobody knows what is in store for him/her the next day and any evil that we do in this world we normally get reparations right here.
 
Tena ngoja nikurahusishie uelewe vizuri sifa ya kiongozi bora kwa huyo Magufuli:
  1. Miundombinu = B+ Good
  2. Umara wa bunge = F+ very poor
  3. Uimara wa mahakama = F+ very poor
  4. Uchumi = C- Avarage
  5. Ukuaji deni la taifa = F+ very poor
  6. Kilimo = D+ poor
  7. Ajira = F+ very poor
  8. Uwekezaji = D+ average
  9. Utawala bora = F+ very poor
  10. Umoja wa kitaifa = F+ very poor
  11. Raslimali = C+ average
  12. Mahusiano ya kimataifa = F+ very poor
  13. Afya = C- average
  14. Elimu = C+ average
  15. Uwezo wa kujenga hoja na kushawishi = F+ very poor
  16. Uvumilivu na usikivu = F+ very poor
  17. Utii wa sheria = F+ very poor
  18. Chaguzi zinazoaminika chini yake = F+ very poor
  19. Usalama wa raia = D+ very poor
Kwa vigezo hivyo hapo juu urais bora Afrika anaupataje kwa mfano?
Well said and presented.Big up!
 
21. Kuteka na kupoteza wale wote anaotofautiana nao kimtazamo.
Wanaompinga na kutofautiana nae kimtazamo wapi huru na salama, mfano 1. Zitto Kabwe
2. Mbowe
3. Mnyika
4. Heche
Kiongozi yupi wa upinzani katekwa?. Usifuate uzushi wa mitandaoni
 
The United Republic of Gangstar.
 
Huo ubora utakuwa wa ukweli na wala sio wa kinafiki kama hatima ya watu kama Benny Saanane, Azory Gwanda itajulikana kwa sababu wawili hao wametoweka yeye akiwa madarakani.

Vile vile swala la waliomjeruhi Tundu Lissu atueleze ni kwa nini hawajachukuliwa hatua za kisheria hadi leo.

Nina wasi wasi majibu ya hizo mysteries yasipopatikana leo huenda ika-interfere na maisha yake ya baadaye kama ilivyo sasa kwa Omar Al Bashir kile Sudan na ukumbuke hata Al Bashir kabla haya yanayomkumba leo hayajatokea wala ilikuwa haimuingii akilini kuwa yangeweza kutokea.

So he better take care because nobody knows what is in store for him/her the next day and any evil that we do in this world we normally get reparations right here.
Kila nchi watu hupotea, hilo ni jambo LA kawaida kabisaaa, Taifa kwanza
 
sEMA UNAMTAKIA SIYO TUNAKUTAKIA! Usisemee nafsi za wengine. Kuhusu "ubora" si kweli,vinginevyo angepata hata tuzo ya Mo Ibrahim.Labda kama ni bora rais na siyo rais bora!
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza, Tuzo ya Mo Ibrahimu hutolewa kwa marais wastaafu sio waliopo madarakani
 
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:

1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.

TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Umelogwa au
 
Back
Top Bottom