Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

21. Kuteka na kupoteza wale wote anaotofautiana nao kimtazamo.
 
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:

1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.

TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Kula nawa ondoka zako,acha kutuletea ushuzi wako hapa
 
Kwa vigezo hivyo hivyo unavyovipenda, tuletee hapa Rais bora Afrika kwa 2019.
1. Miundo mbinu ni 100% hata mabeberu wanajua. Barabara, reli, vivuko, meli na viwanja vya ndege, MPE A+ Excellent,
2. Uimara wa bunge sio kazi ya Rais, ule ni mhimili unaojitegemea. Dr. JPM anapenda bunge imara ili litunge sheria imara pia anahitaji mahakama Imara na anahimiza hivyo.
3.Ukuaji wa uchumi na kupungua kwa umaskini Tanzania ni B, Very Good, hata benki ya dunia, benki ya Afrika na IMF wanalijua hilo.
4.Deni la Taifa amelikuta yeye na anajenga miundo mbinu ya uchumi ili matunda yake yalipe hilo deni. Hapo ni B.
5. Kilimo, mikoa na wilaya inazalisha kwa wingi hadi tunauza nje ya nchi kwa mashirika ya kimataifa. Ameboresha usimamizi na usambazaji wa pembejeo, hapo ni A maana Taifa linajilisha sasa hatuagizi sukari, mafuta wala unga.
6. Ajira zimeongezeka sekta ya umma na binafsi katika miradi mbalimbali na serikalini. Mifumo mipya ya ajira imepunguza rushwa na urasimu katika ajira, hapo B.
7. Uwekezaji umeboreshwa ili kupata Tija katika madini na kwingineko. Wawekezaji wababaishaji wametoweka na vibaraka wao wanalia, rasilimali kama madini, mbuga na ardhi vipo salama, hapo ni A.
8. Utawala bora ni 100%, watendaji na viongozi wanawajibika kwa umma. Kwa sasa mwananchi anaweza kuongea na DC, RC, waziri au Rais , viongozi wabovu wanaondolewa. Huo ndio utawala bora, hapo A,
9. Mahusiano ya kimataifa yapo juu, heshima ya Taifa imerejea, hatupangiwi na MTU, WHO wakitoa taarifa na ugonjwa feki, wanaitwa kujieleza, tumerejesha mahusiano na Israel na Morocco, JPM kaongeza balozi mpya. Hapo ni A,
10. Elimu na afya kuna maboresho makubwa hapo hata kipofu anaona, vyuo feki vimefutwa, mikopo imeongezwa, udahili umeongezeka na mifumo ya kudhibiti ubora TCU na NACTE wapo vizuri, hapo ni A.
11. UMOJA WA KITAIFA upo Imara, watanzania ni wamoja hakuna udini wala ukabila. Mfano Mnyika (Mchaga) kavikwa uchifu wa kisukuma, hapo hakuna umoja wa Kitaufa?, wasukuma si wangemkimbiza?. Hapo ni A,
12. Ushawishi, tangia akiwa waziri, hotuba zake za bajeti zilipigiwa makofi hadi na wapinzani, anao ushawishi na mvuto katika hotuba. Sio mnafiki, anaeleza uhalisia bila kupepesa macho, hapo ni A.
13. Anapenda utawala wa sheria ndomaana katika maamuzi yake hunukuu sheria, na sheria mbovu huomba zirekebishwe mfano sheria ya madini. Hapo ni A.
14. Usalama wa RAIA ni A, siku hizi tunalala milango wazi, hakuna cha panya road wala watoto

leta Rais mwingine unayedhania ni Bora Afrika kuliko DR. JPM, hiyo marking scheme yako INA makengeza na INA mtazamo wa Kibeberu.

Pamoja na kuja kutetea, lakini maksi nilipzotoa zinabaki vilevile, na usipoangalia naweza kurudia nikate maksi zaidi. Acha kushindana na ukweli tafadhali.
 
Mtaje basi Rais wako bora kwa Afrika, 2019 kama Dr. JPM humkubali. Afrika nzima na dunia inajua, Tanzania INA Rais Bora wa Afrika,

Nasema hivi, sio rais bora fullstop.
 
endeleeni
IMG_20191231_200433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:

1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.

TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
 
Attachments

  • 80736139_541686903227609_6399604199931248640_n.jpg
    80736139_541686903227609_6399604199931248640_n.jpg
    29.8 KB · Views: 11

Weka namba yako na jina kamili tukukumbuke katika uteuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza kupika data za uongo. Magufuli is the worst president I've never seen before!
 
Sawa ndege huzioni, reli huoni, barabara na madaraja huyaoni, elimu bure huoni, hospitali na zahanati huzioni, ulinzi na usalama huuoni, basi tuambie Wewe mtanzania mwenzetu waona nini?

Naona wastaafu wasiolipwa mafao yao, naona watoto wanaopewa "elimu" bure huku wakimaliza "elimu" ya sekondari huku wakiwa hawajui kusoma wala kuandika, naona watoto wa wakubwa ambao hawapelekwi kusoma hizo shule za bure, naona wagonjwa wakikosa dawa kwenye zahanati lukuki zilizojengwa, naliona shirika la ndege lisilokaguliwa kwa maana hiyo hakuna ajuae linajiendesha au kodi ninayolipa ndio inayoliendesha, naona biashara zikifungwa kila kukicha.
Niendelee?
 
31 Dec 2019
Muda huu kupitia MwanaHALISI TV tazama #LIVE Mkutano wa Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, #Zitto Kabwe na Mshauri wa chama hicho #MalimSeif wakinguruma mbele ya waandishi wa habari.

Miradi ya awamu ya tano inafaidisha mataifa ya nje ndiyo maana pesa haziko mifukoni mwa waTanzania kwani kwa asilimia kubwa zinakwenda nje kwa wakandarasi na wauza vifaa,chuma, malighafi walio nje ya Tanzania

Source: MwanaHALISI TV

More info:
December 31, 2019

Hotuba ya Mwaka Mpya

ZITTO Aibua Mazito ‘WAMETEKWA, Wamepigwa, Wamepata Ulemavu’ MKUTANO WA ZITTO ABWE NA WANAHABARI:

“Nimetembelea walioko gerezani, wavuvi waliodhulumiwa, wafanyabiashara wanaobambikiwa kesi, wanafunzi wanaonyimwa kukosa haki ya elimu bora, wapo waliopotea na hawajaonana na wapendwa wao.

“Miaka minne iliyopita tumeshuhudia makundi mbalimbali yakiumizwa na maamuzi na matendo ya watawala, wakosoaji wa watawala wamekumbana na madhila makubwa, wapo waliopewa kesi, waliotekwa na wapo wanaoendelea kupandishwa kizimbani kila leo.
Source: Global online tv
 
Dokta feki katika ubora feki, nchi ya wajinga sana hii.
 
Back
Top Bottom