MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,498
Leading by example. John F.K once said "Those who make peaceful revolution impossible, will make violent revolution inevitable "
KabisaNi punguani pekee anayeamini JPM atashindwa
Jingalao habari za siku nyingi ndugu yanguKati ya watu wasiokwazika na wanaenjoy JF ni mimi na Sky
Yaani kauli hii ndio iondoe kiwingu?
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Tatizo kiongozi wa bunge. Alisema "ATAKE ASITAKE" . Sasa hapo unawashangaaJe wananchi kuwa na hofu ?!.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Hiyo wewe, wenzako chickens wao wako bandani tayari.Swahiba don’t count your chickens before they are hatched.
Mwambieni hatumtaki hata sasa
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.
Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.
Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.
My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Matumizi mabaya ya "my take"

kauli yake inamaanisha keshakuwa na hakika kuwa kapita. CCM oyee, NEC oyee.Ana uhakika kura zitatosha October 2020?
tatizo ni kwamba ameanzisha mambo mengi sana ambayo hakuna anaeweza kuimalizia zaidi yake yeye ukizingatia yeye ni mteule wa mungu (Sio Mungu). Baada ya mitano ijayo pengine atahitaji mitano zaidi ili Tanzania iwe nyuyoku.Mitano inamtosha apumzike sasa
He sure as hell has counted his chickens and the chickens from the eggs that will be laid by the counted unhatched chickens. Only in Tanzania.Swahiba don’t count your chickens before they are hatched.
Anajibu propaganda mfu za Lisu!Kwa nini hii kuongeza mda ina Cross minds za watawala? Cha kushangaza mpk muheshimiwa mwenyewe?
Hii kitu haikutakiwa hata kuzungumziwa tena na muhusika. Mbona kuna mambo kwa kua yameandikwa kwa Stones in black en white hutakiwa hata kusema. Wewe piga mzigo ikifika wakti pita hivi ukiongea ongea means there's something fishy cooking.
Inawezekana hata hajakuelewa ulichomuandikia, tafsir plizSwahiba don’t count your chickens before they are hatched.
Awakemee kivipi wakati kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni?Kwanini hajawahi kuwakemea wanaotaka aongezewe muda!? Tena sio layman ni watu kama spika...
Kiongozi wa bunge ni nani? Kwani yeye ndio muamuzi?Tatizo kiongozi wa bunge. Alisema "ATAKE ASITAKE" . Sasa hapo unawashangaaJe wananchi kuwa na hofu ?!.
Jambo jingine, kiongozi mzuri hutakiwi kusema Mimi nitakuwa kiongozi mpaka 2025. Wakati kazi yenyewe ni ya kuchaguliwa miongoni mwa wagombea wengine