Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.

Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.

Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.

My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Yaani kauli hii ndio iondoe kiwingu?
Misukule kweli mna kazi sana.
"Msemakweli ni mpenzi wa mungu" kuliwahi kuondoa uhalisia wa uongo?
"Maendeleo hayana vyama" kuliwahi kudhihirisha kuwa maendeleo ni ya wote?
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025.

Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais wengi barani Afrika.

Tanzania imekuwa na utamaduni wa marais kuachia ngazi kila baada ya miaka 10 ya kuhudumu Ikulu.

My Take: Pamoja na kufanya Mengi bado Rais Magufuli ataiheshimu katiba na utamaduni wa nchi yetu.
Tatizo kiongozi wa bunge. Alisema "ATAKE ASITAKE" . Sasa hapo unawashangaaJe wananchi kuwa na hofu ?!.

Jambo jingine, kiongozi mzuri hutakiwi kusema Mimi nitakuwa kiongozi mpaka 2025. Wakati kazi yenyewe ni ya kuchaguliwa miongoni mwa wagombea wengine
 
Mwambieni hatumtaki hata sasa
 
Matumizi mabaya ya "my take"
 
Kwa nini hii kuongeza mda ina Cross minds za watawala? Cha kushangaza mpk muheshimiwa mwenyewe?
Hii kitu haikutakiwa hata kuzungumziwa tena na muhusika. Mbona kuna mambo kwa kua yameandikwa kwa Stones in black en white hutakiwa hata kusema. Wewe piga mzigo ikifika wakti pita hivi ukiongea ongea means there's something fishy cooking.
Anajibu propaganda mfu za Lisu!
 
Tatizo kiongozi wa bunge. Alisema "ATAKE ASITAKE" . Sasa hapo unawashangaaJe wananchi kuwa na hofu ?!.

Jambo jingine, kiongozi mzuri hutakiwi kusema Mimi nitakuwa kiongozi mpaka 2025. Wakati kazi yenyewe ni ya kuchaguliwa miongoni mwa wagombea wengine
Kiongozi wa bunge ni nani? Kwani yeye ndio muamuzi?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom