Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

Ndugai anasemaje? Maana ana mpango wa kumlazimisha aendelee..
Mhh siasa hazina formula, hivi unategemea Magufuli awambie wananchi kuwa ni raisi wa maisha wakati anatafuta kura za kupata tena miaka mitano?
Yapo mambo yako mbeleni ambayo ni uchaguzi mkuu wa mwezi ujao,na mchakato wa katiba mpya.Usije ukakuta mchakato wa katiba mpya ukabadirisha yale tunayotegemea .
 
Lissu Uchaguzi huu kashiriki!! Anapata uzoefu Kwa Ajili ya 2025!!
Magufuri ndo. Raisi, Ataendelea na URais Hadi 2025!!
Na Lissu ajiandae pia kuwa mshiriki kila chaguzi zijazo kama watangulizi wake
No anymore Madame
 
Back
Top Bottom