Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Mkuu huyu ndo anawadanganya wanaccm wenzake kwamba anamtanguliza Mungu
 
Hapo alikuwa anatania tu ila magwanda kwa kuwa huwa mnaishi kwa kudandiadandia mshapata cha kuongea. Yaani utopolo kwa kweli hata huwa siwaelewi mimi mjue.
Anamtania mamako! Pumbavu wewe huna akili! Hili zee hata halimwogopi mke wake mara liseme wanawake weupe wanapunguzia wanaume stress huku mke wake mweusi kama mkaa! Wanajisikiaje huyu mama? Tuwahishe kulipumzisha ili likaoe mwanamke mweupe Zanzibar!
 
Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Jifunzeni Kutambua Utani ni Sehemu ya Maisha Ivi BAVICHA MBONA NYIE MBUMBUMBU IVI KAHAA yani MAGUFULI asifanye utani kisa RAIS kumbukeni yeye pia binadamu he can Joke
 
Ningeshangaa mno kama hii thread nisingeikuta JF maana hapa kuna watu ni mabingwa wa kuokoteza hoja zisizokuwa na manufaa yoyote na kugeuza debate za kitaifa, yaani tukae kujadiliana udaku tu. Inasikitisha Sana.
 
Msukuma kwa asili anapenda sana wanawake, hasa weupe, wanene na warefu.
Wingi wa ng'ombe unaendana na rangi ya mwanamke.
Kwao msukuma kuzaa watoto wa kike wengi wazuri na weupe wa rangi ni utajiri.
 
Leo Mh. Magufuli kule Zanzibar amesema kuwa akimaliza urais ataongeza mke wa pili. Kiukweli kiongozi kama Magu ambaye ni mwafrika na kiongozi mkubwa ambaye kwa muda mfupi amefaya mambo makubwa na ya ajabu, ambaye amewadindishia wazungu katika mambo mengi mazito akiwakilisha Mwafrika harisi kwakweli ni aibu kwake kuwa na mke mmoja hadi sasa.

Yeye anasema ataongeza akimaliza uongozi, hapo anakosea kabisa kwani alitakiwa ati listi angekuwa hata na watatu ndiyo afikirie kumalizia na swala la muungano kuoa wa Zanzibar.
Magu nikama chifu Mkwawa, Mfalme Mwanamutapa na wengine waliotupa heshima bara la Afrika hawezi kuwa na mke mmoja. Wazee wachache mliobaki wenye hekima mshaulini Mzee afanye jambo la msingi kwani ndiyo uafrika wenyewe na si uzungu hapa.

Huo ukatoriki wake usiwe kikwazo hata kidogo kwani umekuja juzi tena kwa kazi maalumu, afanye kama Mungu wa Afrika alivyo mleta na si Mungu wa wazungu ambaye siwetu.
Ulingosha, na si ulimkatoliki.
Kwanza angeachana na hiyo dini iloletwa na hao wazungu,ndio afuate mila za kina Mkwawa. Hapo ndio tutamuelewa.
 
Jifunzeni Kutambua Utani ni Sehemu ya Maisha Ivi BAVICHA MBONA NYIE MBUMBUMBU IVI KAHAA yani MAGUFULI asifanye utani kisa RAIS kumbukeni yeye pia binadamu he can Joke
Utani!!! na kwa mambo ya wanawake tu!, hivi kumbe hizi ndio Sera eeh, badala ya kuelewesha mambo ya msingi,yeye afanye utani, na kila anapo pita lazima huo utani,ingekuwa Mara moja ndio,lakini kila apitapo akifungua mdomo ni wanawake tu, hizi zi kampeni za uraisi, awe serious, Kama ataka kuchekesha watu na akahamie kwenye majukwaa ya vichekesho,huwezi kuendesha nchi kwa upuuzi huu, miaka mitano tumeona drama alizofanya,na majukwaani ni hayo hayo,huyu hafai.
 
Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Katiba ya nchi hataki kufuata, miingozo ya dhehebu lake hataki kufuata, ushauri wa wasaidizi wake na watu wengine hataki kufuata. "Mimi ni Rais ninaejiamini sipangiwi mambo, na ukinipangia ndo umeharibu kabisaa" ndiyo maana kila aendapo anataka aoe wanawake weupe, mpka kwa Lusinde Dodoma anataka mke. Huyu mtu ni shidaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom