Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

Pesa haimtoshi mtu,na changamoto zipo hata tuwe na utajiri kama nchi ya marekani.

Jpm apongezwe kwa yale aliyoweza kufanya katika kipindi chake na apewe mitano mingi tutafika mbali.
 
Haha sahauni bado 2022 kuna censa. Mnategemea tuache kuhesabu watu tujue baget yao. Tuwaongezee mishahara nyie ambao tunajua baget yenu? Kura kwa makufuli makufuli oye.
 
Hahaha....inaonekana kura za wafanyakazi ni chache kama tone kwenye bahari...
 
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
View attachment 1559428
DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
Hivyo maslahi ya watumishi wewe si kipaumbele chako. SIKUCHAGUI.
Reli hazitaisha kujengwa hapa kwetu labda miaka 100 ijayo.
 
..ukinikamata au ukinipiga risasi nitajua hoja zangu zina ukweli na mumeshindwa kuzijibu.
Kila rais wa TZ husingiziwa kuwa anamiliki mali nyingi. Tulianza tabia hiyo ya kusingizia baada ya Mwinyi kuingia ikulu.

Ni Nyerere tu ambaye uadilifu wake haukuwahi kutiliwa shaka.
 
mkuu,hujaelewana na huyo mtu unayebishana nae,yeye amsema hiyo miradi ipo kwa faida za jiwe ila wewe umedhani amesema ni mali binafsi za jiwe
Jiwe ni binadamu tu ambaye anapita njia juu ya ardhi. Kama anafanya kitu kitakachodumu baada ya yeye kuwa ameshaondoka sioni baya lolote kwa mradi husika ukiendelezwa.
 
Ila pesa ya kununua wapinzani anayo wabunge na madiwani kupandisha madaraja kwa wakati ndio pesa hakuna eti unajenga reli kura yangu haipati ng’o
 
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
View attachment 1559428
DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
Wewe ndiye unahitaji kupewa poke kwa mawazo mgando hayo. Km unaishi kwenye nyumba ya kupanga huku unakula bata, je, uendelee na maisha ya kula bata ukiwa mpangajI au ujinyime kula bata ujenge nyumba yako? KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Back
Top Bottom