Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
IMG_20200905_145519_329.jpg

DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
 
“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
 
Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasa hawajapandishiwa Miaka Mi5 wanafunzi wanakaa kwenye madawati?

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana hayupo mfanyakazi wa nchi hii mwenye akili zake timamu kichwani, anaweza kumfagilia huyo magufuli kwa chochote.

Kiufupi tu hana faida kwa wafanyakazi wa nchi hii. Amejawa tu na dharau, kiburi, roho mbaya na ya kikatili, ubinafsi, unafiki, ubaguzi, nk. Nachelea tu kumuombea mabaya kwa sababu na yeye ni binadamu kama mimi! ila kiukweli anatuzingua sana wafanyakazi.
 
Kwahiyo hajapandisha mishahara!Sasa mbona hapo anasema amepandisha mishahara???
Kama sielewi vile!
 
“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
 
Sasa hawajapandishiwa Miaka Mi5 wanafunzi wanakaa kwenye madawati?

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kumaliza tatizo kwa miaka mitano either wangebase kwenye madawati tu sasa bahati mbaya majengo kwa maana ya madarasa, nyumba za walimu, vyoo nayo ni mabovu sasa tukitengeneza madawati wanafunzi watakaa nje?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Bila shaka wewe utakua na PhD ya kubangua karanga! Wote ni wale wale tu. Mnakua na mavyeti mengi halafu mnakua na uelewa mdogo kwenye mambo ya kawaida kabisa.

Je, unafahamu kitendo cha Rais wako kusitisha mchakato wa wafanyakazi kupanda madaraja yao kwa mujibu wa taratibu za kiutumishi, amesababisha mishahara kwa wafanyakazi kuto kutofautiana?

Yaani aliyeajiriwa mwaka 2014 na yule atakaye ajiriwa mwaka huu wa 2020, mshahara wao utafanana? Uonevu wa kijinga kabisa! Muwe mnamuelimisha huyo mtu wenu. Anazingua.
 
Na ndiyo maana hayupo mfanyakazi wa nchi hii mwenye akili zake timamu kichwani, anaweza kumfagilia huyo magufuli kwa chochote.

Kiufupi tu hana faida kwa wafanyakazi wa nchi hii. Amejawa tu na dharau, kiburi, roho mbaya na ya kikatili, ubinafsi, unafiki, ubaguzi, nk. Nachelea tu kumuombea mabaya kwa sababu na yeye ni binadamu kama mimi! ila kiukweli anatuzingua sana wafanyakazi.

Huu ndiyo ukweli. Kazi kwenu watumishi
 
“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
Mtu mwongo ni mongo tu hiyo PAYE ni ya Zimbabwe.
 
Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio muda muafaka sasa wa hao wanafunzi mliowatengenezea madawati wawapigie kura.
 
Hawawezi kumaliza tatizo kwa miaka mitano either wangebase kwenye madawati tu sasa bahati mbaya majengo kwa maana ya madarasa, nyumba za walimu, vyoo nayo ni mabovu sasa tukitengeneza madawati wanafunzi watakaa nje?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuna siku Zitto alisema Awamu hii wanafanya vitu kama dunia inaisha kesho.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wao wanataka tuongeze sent ila sie twapunguza paye percentage tu so ni njia indirect ya kuongeza mshahara.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama hela haijaingia kwenye basic salary yako basi hujasaidiwa lolote.
Kiasi cha basic salary kina maana sana mpaka kwenye pension.

Kama kazi yako ni kutetea basi endelea kutetea tu
 
Back
Top Bottom