Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Gwajima anachukiwa sana kwa sababu ni mkweli sana. Je, ukweli wake ni upi?

Magufuli ni mtu asiyejua kampeni kabisa na hajui kunadi watu,Gwajima huyu ndiye aliyesimama kwenye kanisa lake na kusema Cardinal Pengo amevalishwa Pampasi Sasa Kama Pombe anasema huyu Ni mkweli kumbe hakukosea kumtukana Cardinali Pengo.Kwa kweli Ni AIBU Sana kuwa na Rais anaenadi watu wasiojielewa namna hii inasikitisha ETI NAE MAGUFULI ANAOMBA AONGEZEWA MIAKA MITANO KWA AKILI KAMA HIZI,KWELI TAIFA LINAPITA KWELI AIBU KUBWA SANA.
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Kwa mara ya kwanza mh. Rais anakubaliana na maelezo aliyowahi kuyatoa Gwajima kuwa jina halisi la aliewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Far ni Bashite!
 
Kweli kabisa nikweli Sana kwenye kufufua watu , kula kondoo wa bwana , kuwapakua watoto wa dada zake na Kaka zake Mzee wa mkono wa baunsa mkweli Sana we Pimbi wa Lumumba .
IMG_20201008_012632.jpg
IMG_20200920_151708.jpg
 
Gwajima Ni mkweli Sanaa ,Hajawahi kuongea kitu kisitokee na huwa Hana unafiki anaongea vitu vilivyonyooka
Ndio maana watu wanamchukia
 
Msema KWELI mpenzi wa MUNGU ,Ndio Maana Gwajima Ni mtumishi wa MUNGU
Hana unafiki
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Ni mkweli ndio alibainisha ujambazi cloudd fm na mkuu wa mkoa bashite, JPM akajifanya haelewi.
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Kweli watanzania ni wajinga sana sisi hivi kweli mtu kama huyu aliyeibia wananchi kutengeneza misukule bandi leo unasema ni mkweli kwa hiyo hayo aliyekuwa anayasemw juu ya serikali na viongozi wake ni ya kweli.

Yani hii nchi basi tu​
 
Back
Top Bottom