Controversial
Member
- Mar 8, 2015
- 42
- 6
Anakagua nini kwanza arudishe bil252 ambazo tunamdai ndio aendelee kukagua.
Tuache unafiki hii wizara ya jamaa ndo inayoonekana kupiga kazi kuliko zote hapa bongo
alipewa na nani? hizo hela tafuta maekezo y CIG MPYA UTAPATA MAJIBU
Niipongeze serikali ya JK kwa kazi nzuri ya kujenga ilo daraja.
Ni vema Waziri Magufuli amekagua kazi hii ya Wachina.
ikisimama panda hajaiona hii komentAnakagua nini kwanza arudishe bil252 ambazo tunamdai ndio aendelee kukagua.
Ingependeza pia apigwe picha akikagua mradi wa DART.
Kwa kuwa Watanzania ni mabingwa wa kushangilia pale tu serikali inapotokea mambo kutokwenda vizuri, leo Serikali wamemulipa STRABAG deni alilokuwa anadai na kesho kazi zinaendelea kama kawaida.
Uzalendo ni kitu cha msingi sana, ionee huruma serikali yako pale inapojitahidi kukuletea maendeleo.