Serikali si ya kuonewa huruma. Ni ya kuwajibishwa, isipotekeleza wajibu wake. Hakuna hisani hapo.
Ndoorobo.
Mungese wewe!
Serikali si ya kuonewa huruma. Ni ya kuwajibishwa, isipotekeleza wajibu wake. Hakuna hisani hapo.
Ndoorobo.
Mungese wewe!
Kumbe huna unalojua. Punguza hisia.
Unaonekana una below IQ, nchi zilizoendelea uzalendo namba moja, najua upo upande wa pili lakini appreciate pale mazuri yanafanyika.
TENA: kesho STRABAG wanaendelea na kazi kwa kuwa serikali imewalipa deni lao. Chukia tena nione.
Yan umeua kabisa bila wafanyakazi NSSF hakuna daraja serikali hakuna kukopa fedha za mishahara big up wafanyakazi mnaoteseka na mifuko yenu inatumika nyie mkilipwa Tshs 100,000/=Toa pongezi kwa wanachama wa nssf sio jk... Acheni unafiki!
Big up kwa wanachama wote wa nssf na Dr Dau kwa kuhakikisha hela zinawafikia wakandarasi
Tuache unafiki hii wizara ya jamaa ndo inayoonekana kupiga kazi kuliko zote hapa bongo
Mkuu hii wizara ovyo tu, jaribu kukumbuka mafuriko Dar, lawama zote ni kwa wizara hiyo, angalia barabara substandard ziko ngapi, angalia watu wangapi wanaishi kwenye nyumnba zenye X kwa miaka hata 10. Sioni kama anafanya kazi kuliko wengine, ni kama wengine tu.
Mji mpya umefia wapi
Ujenzi wa hili daraja umeharibu sana barabara kuanzia geti namba tano mpaka round about ya kilwa road.
Kuna watu wengine ara uwezo wa kugoogle hawawezi.Wao ni kukariri tu.
CIG aliishatoa maelezo vizuri juu ya Billion 512,na akamalizia kwa kuipongeza wizara kuwa inafanya kazi kwa kiwango cha kitukuka.
ikisimama panda hajaiona hii koment
hawakawii kutuchelewesha hadi siku moja kabla ya uchaguzi ndiyo wafanye uzinduzi wa mbwembwe!!
Kwa Katiba hii ya sasa iliyochoka na ile inayopandikizwa na CCM, waziri mkuu ni mesenja tu wa Rais. Hawezi kufanya cho chote kinachopingana na maamuzi na mtazamo wa Rais. Rais akiwa dhaifu na waziri mkuu wake atakuwa dhaifu (refer kwa utawala unaomaliza muda wake). Rais akiwa msanii, na waziri mkuu anakuwa msanii, Rais akiwa na mtazamo wa ombaomba, na lugha ya Waziri Mkuu inaelekezwa huko huko. Hatuna namna yo yote ile ya kumfanya Waziri mkuu atumie akilia yake au uwezo wake labda kama tunakubali KUBADILISHA KATIBA na kuwa KATIBA YA WANANCHI (toleo la Mzee Warioba). Kwa hiyo kama unalishabikia jembe lako ni bora ulipiganie liwe rais au upiganie Katiba ya Wananchi ili jembe lako likiwa waziri mkuu liweze kung'oa visiki!!Big up magufuli. wewe ni jembe, i wish ungekuwa waziri mkuu.