Ninachofurahi tu ni kwamba tokea ile jana hadi sasa hivi tumeshasahau tayari mambo ya CCN Africa dhidi ya Tanzania na Deni la Taifa kuongezeka na talk of the Town sasa ni Dr. Luis Shika.
Kwani ana tofautiana vipi na Billgate kwa muonekano wa nje...Mbona hana hadhi ya kuwa na hela....natania
Uliza thamanu ya shati la bilgates inawezekana lina thamani ya iphone 7
GENTAMYCINE ,
Mkuu, hiyo ni kawaida sana kwa Tanzania.
Watu wengi hawajui kutathimini mambo yenye faida na hasara kwa nchi yetu.
Ila kuangalia mambo madogo madogo kama habari za watu binafsi kama hizo.
aisee...Ni mgonjwa huyo Dr, pale alikuwa anawachora tu, alisoma Russian na Ni specialist wa moyo japo hajawai ku practice kwa kifupi police wakifuatilia history yake watamwachia
Hhahaha mkuu umenikumbusha githeri manNimekumbuka wakenya na stori ya Githeri. Na sisi tumekuwa na githeri media
duh!Hahahahaaa
Eti anauliza
..."""Hiyo 25% naweza kulipa kwa M-Pesa""
Na wewe ni tapeli pia huna ela tu km dr luisKiufupi
Born in Tanzania to secular Sukuma parents, Dr Luis is the first Tanzania Bussnessman born in Tanzania after the establishment of the state. Dr Luis joined the Russia Chemical Indusril Department shortly after the Six-Day War in 1945, and became a team leader in the Chemical Industrial Campany. Dr Shika took part in many missions, including Operation (1968), Operation (1968) and Operation ya utapeli wa nyumba in Dar Es Salaam Tanzania,(2017), during which he was shot in the shoulder. Dr Luis fought on the front lines....
Kiufupi

Ukimuangalia mama Tibaijuka unamwonaje? Unaweza kudhani ni mama masikini wa kijijini lakini mboga yake ni Mil 10 na hadhi yake kama unataka kumsalimia ni bil 1.6 Wakora waitu!Mbona hana hadhi ya kuwa na hela....natania
Baadae alipelekwa kuwa mkufunzi wa saikolojia pale kitengo.Ni mgonjwa huyo Dr, pale alikuwa anawachora tu, alisoma Russian na Ni specialist wa moyo japo hajawai ku practice kwa kifupi police wakifuatilia history yake watamwachia
Mbona hata mama tibaijuka hafananii pesa ila anayo mapesa ya kutosha amekaa kama kachokaHata kama hutanii huo ndio UKWELI
IQYaani Wote tumeelekea kule kule walikotaka Wao na kiukweli wamefanikiwa sana na sasa hivi wanatuona Sisi Mitanzania ya hovyo hovyo. Yaani hivi kwa jinsi nchi ilivyochafuliwa juzi na CCN Africa na sakata zima la Deni la Taifa nilitegemea kuanzia leo kutakuwa na delevoping stories nyingi za haya masuala Nyeti kabisa mawili na yenye Interest kubwa na nchi pamoja na Wananchi wake lakini kwa mshangao mkubwa leo 90% ya Magazeti ya Tanzania habari uza yao ni huyo Dr. Luis Shika.
Sijui ni nani ameturoga Watanzania na Waafrika kwa ujumla.