Zee la Nyeti
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 702
- 470
Dr. Luis Figo
Maelezo mazuri sana haya kumuhusu...![]()
Mala ya kwanza kumfahamu Dr huyu ni mwaka1977- 1979 mwishoni tulikuwa nae Mbeya M.TC,akisoma course ya Clinical Oficer (C.O) zamani waliitwa Medical Assistant, Kule chuoni Mbeya alikuwa anaitwa Lunyalula Kidola na alikuwa Rais wa chuo.
Baada ya kumaliza kozi kilamtu alitawanyika kivyake kwenda kujiunga na JKT na baadae kuajiliwa kazini.
Baada ya kumaliza tu tulikutana nae Dar mitaa ya Uhuru akiulizia bei ya godoro mikononi alikuwa ameshikilia bahasha nadhani ndani kulikuwa na vyeti akaniambia anaenda wizarani kushughurikia scholarship yake anakwenda URUSI.
Baadae nilisikia alienda kusoma Urusi degree ya Medicine. Hatukuonana tena hadi miaka ya 2000 nilianza kukutana nae mitaa ya Dar,kila tukionana nae alikuwa ananiambia mambo ya kuwa na hela nyingi na biashara lakini nilianza kumtilia mashaka kwani mambo aliyokuwa ananiambia hayakuwa yanafanana na muonekano wake,fedha nyingi alizosema alikuwa nazo zilikuwa hazifanani na yeye , basi kila alipojitahidi kuniongelesha nilikuwa ninampuuza.
Pia alikuwa amekatika vidole na meno mengine alikuwa hana vitu vyote hivi vilikuwa vinanipa mashaka.
Tukaacha kuonana nae hadi hapo jana nilipomwona kwenye mitandao na leo kwenye magazeti.
Kifupi huyu jamaa alienda kusoma Urusi kozi ya udakitari sina uhakika kama alimaliza maana kila ukimwuliza mambo mengi alikuwa anafichaficha, mfano anafanya kazi wapi hasemi mala lectural Aghakan University ukienda huko humkuti n,k. Kuna jamaa anamfahamu zaidi anaitwa Dr, Edward Maswanya yuko pala NIMRI.
Kabila lake ni msukuma.
HHahahaPeleka upuuzi wako kule. TCRA wakushushie kipigo kumuhusisha tapel na Rais
tcra wana kazi nyingi za kufanyaPeleka upuuzi wako kule. TCRA wakushushie kipigo kumuhusisha tapel na Rais
Hii bangi ya Arusha, Tarime au Kigoma?Kiufupi
Born in Tanzania to secular Sukuma parents, Dr Luis is the first Tanzania Bussnessman born in Tanzania after the establishment of the state. Dr Luis joined the Russia Chemical Indusril Department shortly after the Six-Day War in 1945, and became a team leader in the Chemical Industrial Campany. Dr Shika took part in many missions, including Operation (1968), Operation (1968) and Operation ya utapeli wa nyumba in Dar Es Salaam Tanzania,(2017), during which he was shot in the shoulder. Dr Luis fought on the front lines....
Mkuu daaah kama ni per latest news huyo bidder aendeee milembe 4 his mental healthyView attachment 627924
Uongozi wa kampuni ya Lancefort ndo huo
ukweli kabisa, muonekano wa mavazi na afya ya mwili ni miongoni mwa vigezo vya hali nzuri, simaanishi kuwa na mtambi....!Hata kama hutanii huo ndio UKWELI