Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Mi sura naijua kwa jina jingine la doctor Luis kabadilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wale waliokuwa wakimpepea mbona hawajawekwa ndani pamoja naye?
Mkuu hebu funguka zaidi, inaelekea unamjua vyema...Acha ulongo, huyu jamaa kwanza katumia jina ambalo si lake hata kidogo, kitu kama Dr. Lunyamila hivi. Ana faili milembe (ana tatizo la afya ya akili) hivyo hajatumwa na mtu bali aliona ni sehemu ya kuandika historia hata kama ni kwa siku moja tu
Kakimbia kusiko julikana !Kwani Dr Mwaka yu wapi?
Yaani sasa hivi ndiyo itakuwa mtindo wangu nikiwa madukani,..viatu sh ngapi? Elfu 40 .. Tufanye 80 itapendeza zaidi 😱 😱 😱 😱 😱Mil. 900 itapendeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kufurahi kama jana. Jinsi alivyokua anasema bei utafikiri mnada wa kanisani
Kweli nimeamini. Umaarufu hauitaji gharama kubwa.mzee Leo kawa maarufu ghafla.
Ngoja siku nimkate kofi magufuli [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona hana hadhi ya kuwa na hela....natania
hahaha hanaMbona hana hadhi ya kuwa na hela....natania
Tatizo watz kweli vilaza. Kichaa anawasghulisha wenye akili? Tumeambiwa 1/4 vichaa yono wote vichaa.
Mmelogwa na uananzengoYaani Wote tumeelekea kule kule walikotaka Wao na kiukweli wamefanikiwa sana na sasa hivi wanatuona Sisi Mitanzania ya hovyo hovyo. Yaani hivi kwa jinsi nchi ilivyochafuliwa juzi na CCN Africa na sakata zima la Deni la Taifa nilitegemea kuanzia leo kutakuwa na delevoping stories nyingi za haya masuala Nyeti kabisa mawili na yenye Interest kubwa na nchi pamoja na Wananchi wake lakini kwa mshangao mkubwa leo 90% ya Magazeti ya Tanzania habari uza yao ni huyo Dr. Luis Shika.
Sijui ni nani ameturoga Watanzania na Waafrika kwa ujumla.
Mkuu unaishi DAR?Kawaida sana hii kwa matajiri