Hahaha katumwa sio?Huyu siyo mtu ni msukule wa Lugumi
Hahaha katumwa sio?Huyu siyo mtu ni msukule wa Lugumi
Kigwa alimpoteza kwenye faniKwani Dr Mwaka yu wapi?
UKIONA MTU HAENDANI NA HELA ZAKE, UJUE MCHAWI. YANI UNA HELA NYING ILA UKO RAFU. HATA BILL GATES ANAVAA VZURI ANAKULA VZURI.
Halafu nao hao yono wakawa wanampepea,nadhani zingelikuwa nyumba zaidi ya tano basi walingempepea na feni badala ya vitambaa![]()
Huyu mtu ametrend sana katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kushinda mnada wa kununua nyumba za Lugumu lakini baadae ashindwa kulipa 25% papo hapo kama sheria inavyotaka!
Najua humu jamvini kuna wadau watakaokuwa wanamfahamu vyema, watupe wasifu wa huyu mtu.
Umenichekesha sanaHela haingalii alivyo MTU by the way anajua nini anafanya, ANAJIAMINI SANA.
Umewaza vizuri sana.LAKINI WAKUU, TIKISENI AKILI KIDOGO, MIMI NINA WASIWAS HUYU JAMAA ALIWEKWA MAALUMU NA YONO KWA AJILI YA KUONGEZA THAMANI YA MNADA LAKINI DILI LIKABUMA.
Hata kwenye minada yetu mtaan hayo mambo yapo