Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Basi anaweza kuwa perfect match
Sasa ni zamu yake kunyolewa kipara, awe mpole tu
 
Ulichosema ni kweli mkuu..mie iliniaafect kbs brain..nilikua nawaza kwa muda mrefu mno ndo nijibu..kifupi mm.nilikua nawehuka kbs sasa sipatii picha yeye
Daah pole sana Mkuu. Halafu pembeni unasikia mtu anasema eti Tanzania hakuna Corona. Ikabatizwa Pneumonia. Yaani Covid 19 attack unalinganisha na normal Pneumonia? Hapa ndiyo wengi waliangamia.
 
Atakuwa muhutu au mtutsi huyo.

Hamna nchii hii inatawaliwa na nchi moja ndogo jirani.
 
Mkuu hapo sasa unatupiga kamba
 
Lakini mzee aache roho mbaya mpaka anatuweka majaribuni kutaka iwe hivyohivyo kama wanavyotabiri,mzee badirika acha ubabe na wewe ulizaliwa na utakufa siku moja kama wanadamu wengine khaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…