MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,528
- 21,813
Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata. Usiku mwema!!
Hapa ndipo ulipo uimara wa TISS ya sasa. Hakuna tena dhana ya 'Intelijensia'
Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata. Usiku mwema!!
Nyote wawili mnazungumzia kitu kimoja.Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea? Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara.
Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Enzi za Cold War tukiwa kama nchi yenye mfumo wa kijamaa na Nyerere kuwa tishio la nchi za magharibi, Ujerumani Mashariki walitoa mafunzo ya kijasusi kwa TISS. Tulitisha SanaMkuu asante sana kwa hili, ila kwa sasa na vile tiss ya leo iko huwezi ilinganisha hata kidogo na mabigwa kaa CIA, M15, au the dreaded and most feared spy agency in the world, the israel MOSSAD.Hapo miaka ya nyuma tiss ilikuwa imara kabisa, hata huko kenya tiss ilikuwa inahesimiwa kabisa, lakini tiss ya leo imejaa wanafiki wa uvccm, na wewe unajionea vile mambo inakwenda,hii tiss ya leo imekuwa kazi yake ni kuteka na kuua, haswa wapizani au watu ambao ccm haiwataki, kumbuka zachariah kule mara mkuu?hii tiss ya leo ni A BRANCH OF CCM PERIOD,
Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
MUna uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea? Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara.
Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Taasisi imara?? .... Uimara wa kumfikia mleta mada???......... hovyooooo kabisa.Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea? Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara.
Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Hilo deni la Steyn. Hata kwenye ripoti ya CAG ilikuwemo.kwani serikali inalazimika kufuata ushauri wa TISS? lakini pia serikali haikujua kuwa kuna kesi SA, yaani tusema mahaka ya huko SA haikutuma 'court notice'?
hapa swala tu ni serikali imepuuzia kulipa dena, tumekua na vipaombele vingi vikubwa kiasi kwamba tunashindwa hata kutimiza wajibu wetu barabara.
Absolutely trueingekuwa ni kiongozi wa upinzani ameandaa mkutano wa ndani wa kisiasa, tiss wangejua haraka sana.
Kivipi yaani unataka mfanane akili ??Upinzani siyo kurudisha nyuma maendeleo ya nchi na taifa lako.
Kwa Tanzania upinzani inachofanya Ni kutafuta tu madaraka at any cost ikiwemo kukwamisha maendeleo ili serikali ionekane imeshindwa.Kwa stahili hizo Mungu hawezi wapa nchi na ndio maana 2015 aliwanyima uraisi was muungano na ule wa Zanzibar sababu aliwaona mbinu wanazotumia Ni za kishetani.Na Tundu Lisu aliwahi tamka wazi wakati Lowasa kajiunga alipobanwa kwa Nini wamempokea my waliyemwita fisadi Papa akasema wao chadema wako tayari kuungana hata na shetani mwenyewe Kama atawasaidia kushika nchi.Mungu akasikia alichokiongea na majibu kampa vizuri Sana Lisu Siku hizi hata kusali anasaliUpinzani siyo kurudisha nyuma maendeleo ya nchi na taifa lako.
Kama mlishauri, mlishauri nini hadi kufikia hatua ndege yetu kukamatwa?Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Sasa mbona umeshindwa kutuondolea codes ktk post yako! Ni nani ambae ulipostuka mission accomplished na kumbe alikuwa Tiss.Hahahahahah. ..wakiweza kunipata mimi hata Trump wataweza kumkamata, na sign out
TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.Kwa mara ya tatu tena nakuandikia Mzee wangu Dr Modestus Kipilimba, mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa, TISS.
Natamani sana, Rais Magufuli awe wa kwanza kusoma hii mada kabla yako.
Nimeshindwa kuendelea na kazi niliyokuwa naifanya usiku huu kwenye Computer, moyo wangu umekosa amani kabisa hadi niandike hii mada.
Dr. Kipilimba, unadhani bado unastahili kuongoza Idara nyeti na muhimu Kama hii ya TISS?
Kwanini mikononi mwako serikali ya awamu ya tano inadhalilika sana kimataifa?
Kwanini Idara yako imeruhusu uwepo wa watu Kama Musiba wanaokashifu viongozi wakubwa hadharani?
Sikufundishi kazi, ila nashangaa kwanini hujui kuwa idara kama TISS ndo Roho kamili ya Tanzania.
Kifo cha TISS ni kifo cha Tanzania, kwanini hujifunzi magumashi ya CIA, MI5, Mossad na mashirika mengineyo kama TISS?
Ninaposema magumashi nadhani umeelewa vizuri kabisa, maana nikielezea itahitaji kitabu.
Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.
Tunajua ya kwamba dawa ya Deni ni kulipa, lakini ilikuwaje TISS ikashindwa kubaini kuwa Steyn kafungua shauri mahakamani dhidi ya Tanzania kudai mali yoyote ya nchi ikamatwe?
TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.
Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.
TISS mngeweza kuepusha hii fedheha. Kama TISS, ilishindwa kubaini njama za kutaifisha mali ya nchi, je itaweza kujua nini kinapangwa Somalia na Alshabab kwa mfano juu ya nchi?
Dr Kipilimba, TISS chini yako ni dhaifu mno, nakushauri u resign tu. TISS chini ya Dr Hansy Kitine na hayati Imran Kombe ilikuwa imara kupindukia.
Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.
TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.
Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.
CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!

Basi mleta mada yuko sahihi, TISS inaendeshwa kisiasa.Ungeendelea na hiyo kazi yako ya kuchafua serikali na taasisi zake. Mkurugenzi wa TISS atakuwa mtu wa mwisho kabisa kupokea lawama na kuwajibika, in fact Dr. Kipilimba anafanya kazi kutokana na mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi na uongozi wa awamu ya tano.
Muundo na majukumu yà chombo hiki ni kuwa loyal kwa viongoz wahuni wa CCM badala ya nchi,wako busy kufuatilia wakosoaj wa serikali hata km wañafanya mambo ya kijinga. They're trained to protect CCM anď their leaders and not national interest.Kwa mara ya tatu tena nakuandikia Mzee wangu Dr Modestus Kipilimba, mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa, TISS.
Natamani sana, Rais Magufuli awe wa kwanza kusoma hii mada kabla yako.
Nimeshindwa kuendelea na kazi niliyokuwa naifanya usiku huu kwenye Computer, moyo wangu umekosa amani kabisa hadi niandike hii mada.
Dr. Kipilimba, unadhani bado unastahili kuongoza Idara nyeti na muhimu Kama hii ya TISS?
Kwanini mikononi mwako serikali ya awamu ya tano inadhalilika sana kimataifa?
Kwanini Idara yako imeruhusu uwepo wa watu Kama Musiba wanaokashifu viongozi wakubwa hadharani?
Sikufundishi kazi, ila nashangaa kwanini hujui kuwa idara kama TISS ndo Roho kamili ya Tanzania.
Kifo cha TISS ni kifo cha Tanzania, kwanini hujifunzi magumashi ya CIA, MI5, Mossad na mashirika mengineyo kama TISS?
Ninaposema magumashi nadhani umeelewa vizuri kabisa, maana nikielezea itahitaji kitabu.
Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.
Tunajua ya kwamba dawa ya Deni ni kulipa, lakini ilikuwaje TISS ikashindwa kubaini kuwa Steyn kafungua shauri mahakamani dhidi ya Tanzania kudai mali yoyote ya nchi ikamatwe?
TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.
Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.
TISS mngeweza kuepusha hii fedheha. Kama TISS, ilishindwa kubaini njama za kutaifisha mali ya nchi, je itaweza kujua nini kinapangwa Somalia na Alshabab kwa mfano juu ya nchi?
Dr Kipilimba, TISS chini yako ni dhaifu mno, nakushauri u resign tu. TISS chini ya Dr Hansy Kitine na hayati Imran Kombe ilikuwa imara kupindukia.
Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.
TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.
Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.
CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!
Ungeendelea na hiyo kazi yako ya kuchafua serikali na taasisi zake. Mkurugenzi wa TISS atakuwa mtu wa mwisho kabisa kupokea lawama na kuwajibika, in fact Dr. Kipilimba anafanya kazi kutokana na mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi na uongozi wa awamu ya tano.
Kwa hiyo hapa una confirm hiyo idara ni "Toothless dog " sasa kuna maana gani ya kuwepo kwa idara hiyo ? .Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!