Mmh MUNGU ndio mlinzi WA hili Taifa sio polish wala TISS,siasa imeingia Hadi kwenye vyombo nyeti vya Taifa utegemee kuna nini tena? TISS ya leo Kwa asilimia kubwa wamejikita kujikomba Kwa wanasiasa wala sio weledi,Siku TISS Ilivyoruhusu msamiati watu wasio julikana uingie kwenye maisha ya kila siku ya Watanzania ndio Kwa mara nyingine ilidhihirisha kuwa hiki NI chombo sasa cha wachumia tumbo sio walinzi wa Watanzania, seriousness Yao itatokana na mood ya watawala sio kiasi gani Amani ya Tanzania iko hatarini