Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Kweli Kipilimba kachoka, ameshindwa kuliangamiza kundi la watu wasiojulikana nchini.
 
Deni lilipwe. madudu yamefanywa awamu hizo zilizopita.

TISS na Dr. Kipilimbi wanastahili pongezi , Hizi era ni ngumu sana kuimba mapambio tu siyo kazi rahisi weye.
Wewe sikia tu kuhusu mambo hayo.
 
Badili sheria n others will correct it self.
Kula Like mleta mada ingawa nimesahau kubonyeza kitufe husika.

Jambo la msingi ni kukubali udhaifu uliopo, kufanya reforms na kufanya kazi kwa misingi ya kazi na siyo vinginevyo.
Ni vizuri kufikiria kubadili mfumo wa utendaji kazi kulingana na mabadiliko ya teknolojia ya sasa na siyo mfumo wa siasa ya nchi. Aidha si rahisi kujitokeza hadharani na kueleza chanzo cha tatizo, na hapo ndipo hoja ya kujihudhuru inakuja.
 
Watu wamegoma kutenda wakiwa viongoz n wanataka waendelee kuwa viongoz n ngumu mtu kuresign
Nakubaliana kwa 100% ya maelezo yako yote na sijaribu kuamini kutokujua kwao lkn hoja za mtoa post si za kubeza zina ukweli fikirishi na kama kiongozi mzuri ukimwambia mtu hii ni A akakataa na kukuambia ni B better resgin .

Huyu amemaanisha kuwa aidha
1. Ku resgin kwa kushindwa kuelewa in advance i.e kutojua

2. Ku resgin kwa kushauri professionally ushauri wako ukawa dropped kwa maana kama wewe ni injinia ukasema nondo mm 20 ndio itafaa halafu mtu wa juu asiye professional akasema weka 10mm je jengo likikolapsi nani alaumiwe?

Uki sawa mkuu ila angalia na hoja hizi.

Who can stand Tall . Ndio ngumu
 
Umesikia yaliyomkut Kipilimba?
Ungeendelea na hiyo kazi yako ya kuchafua serikali na taasisi zake. Mkurugenzi wa TISS atakuwa mtu wa mwisho kabisa kupokea lawama na kuwajibika, in fact Dr. Kipilimba anafanya kazi kutokana na mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi na uongozi wa awamu ya tano.
 
Mafisadi wana hasira sana!!! Dr. endelea mbele, makelele haya ni dalili kuwa unafanya kazi nzuri!!! Wenye akili zao wanaelewa kazi muhimu inayofanywa na serikali na idara hii muhimu unayoiongoza Dr inafanya kazi nzuri sana! Mafisadi na wahujumu uchumi hawana pa kupumulia!. Wana ndoto za mchana kuwa Dr ukiondoka watapumua! Wanajidanganya! Kaza Uzi na waondoke wao!!!!
Badala ya kujadili mambo ya muhimu watu wanajadili watu binafsi, huko ni kufilisika!!!
Umejificha wapi mda huu? Hivi kwa akili kama zako tutafika kweli?
 
Kama utaki kulitaja tukio unajisemesha nini sasa si usingesema tu kwani ukilitaja hilo tukio Jua halitawaka
 
It seems some people who presume that they have read books and smart in administrations and investigative matters don’t know the work of TISS. I don’t see as to why you are castigating Dr Kipilima! Nchi kwa sasa inaingozwa vizuri sana kuliko vipindi wa awamu ya tatu na nne. Awamu hii ya tano mpaka sasa imefanya mengi na vyombo vyote vya usalama vinawajibika vizuri. Kumbuka Mwl Nyerere alituachia viwanda lukuki, alituachia mashirika ya umma yalikuwa yakiendeshwa vema, alituachia research institutes imara LAKINI yote/vyote vilifisidiwa!!!! Je kipindi hicho kulikuwa hakuna TISS ya kuishauri kuwa viongozi wa serikali walikuwa wanaingia mikataba ya kuuza nchi????? Leo hii, kipindi cha awamu ya tano, kwa sababu ya utendaji mzuri wa TISS Reli, Mawasiliano na mengine mengi yamerudishwa! Ninaimani pia nyumba walizojigawia zitarudishwa. Kwa hiyo hiyo maandishi yako ya kumlaumu Dr Kipilima au TISS ni akili za narrow minded people ambao hawaoni yanayofanywa na awamu ya tano! Mfano mzuri ilikuwaje pwani yote ya Tanzania pamoja na bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa China na Oman 2014 kwa kipindi cha miaka 200!!!! Kama siyo TISS ya Kipilima Rais Dr Magufuli angalijuaje? Wajerumani walitutawala kwa miaka 40, Waingereza miaka 30 na sasa 2014 viongozi wazawa walidiriki kutukabidhi kwa Oman/China kwa miaka karibu 200!!!!!
Duh! tungewekwa reheni kwa miaka 200!!!! ni nani huyo alitaka kufanya hivyo? arghhh!!!!!!!😳😳😳
 
Nyepesi nyepesi ni kwamba huyu Mzee mda sio mrefu atapumzishwa kutokana na afya yake, na pale kuna mnyukano kwani aliependekezwa na Mkulu wenyewe hawajamkubali kwamba amekaa nje ya Taasisi na ndani wapo wenye sifa za kakalia kiti ya Kapilimba, za chini chini mle ndani kuna two blocks Mona iko unataka atoke ndani upande mwingne unasema hata aliyependekezwa anafaa, tusubiri!
Unasema?
 
Back
Top Bottom