Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

HAWEZI KUKUELEWA, AMEAHIDIWA UBUNGE WA KILOMBERO NA UWAZIRI JUU.
SASA HIVI IDARA INAONGOZWA NA WAP.UMBAVU KAMA KINA MUSIBA.
HATA ISSUE YA KOROSHO, SUKARI, MBAAZI N.K NI MATOKEO YA UDHAIFU MKUBWA NDANI YA IDARA. WANAWAZA SANA VYEO NA MATUMBO YAO BADALA YA KUSHAURI MAMBO YA UCHUMI N.K
WAO WANAAMINI KUBORESHA UCHUMI NI KUNYANG'ANYA WATU PESA KWENYE AKAUNTI ZAO NA KWENYE BUREAU DE CHANGE, AIBU SANA!.
Wewe tafuta pesa kwa njia halali, usibeze Tiss kwa kukuharibia shughuli zako haramu, kama akaunti ina pesa haramu ni wajibu wao kuifunga hata kama kufanya hivyo hakutaboresha uchumi!
 
Tatizo lenu mna uwezo mdogo mno wa kufikiria ,unajuaje Kama na mimi nimeiva ktk masuala ya intelligence?
Halafu ni wapi nimetukana zaidi ya kushauri?
TISS haiko imara ,ni kichaka cha CCM kufanya upumbavu wao.
Tungekuwa na TISS imara, hata uchumi ungekuwa imara, kwa sababu kazi za Taasisi Kama TISS ni kuhujumu mataifa mengine kwa maslahi ya nchi na siyo kuhujumu vyama vya siasa.
Ningeandika mazito ila namwonea huruma Melo watamtesa bure, hapa mbona nimeshauri tu, nikiweka nondo nzito hadi ikulu watapoteana.
Wewe kula ukalale huna unalojua, Tuachie sisi wanaume tuikosoe serikali.
Ushauri wako haulengi kuondoa chanzo cha tatizo, ubovu wa TISS haujaanzia kwa Dkt. Kipilimba, mbona wakati nchi inafisidiwa kupitia kagoda mpaka escrow hamkusema TISS wanafanya nini?? hii ishu ndogo ya ndege inalingana na aibu ya watu kugawana pesa za nchi kwenye mifuko tena mitaani?? benki ndio zilikuwa kichaka cha kuficha uhalifu na TISS wapo, kuna aibu kubwa kushinda hizo??Kipilimba amerithi TISS mbovu..laumu waliokuwepo kabla yake!
 
kinachofanya kazi nchini ni ile intelligensia kali inayoweza kunusa kama wapinzani wanataka kuandamana ama wana vikao vya ndani...vinayoweza kuashiria uvunjifu wa amani.
 
kinachofanya kazi nchini ni ile intelligensia kali inayoweza kunusa kama wapinzani wanataka kuandamana ama wana vikao vya ndani...vinayoweza kuashiria uvunjifu wa amani.

Hayo ni majukumu ya polisi na CID

TISS haihusiki kwa kazi ndogondogo kama hizo.

Na pia kama inavyosadikiwa kwamba idara imemegwa na kuanza kuunda makundi kama ya "wasojulikana".

TISS ni usalama wa taifa na mipaka yake na nje ya mipaka hiyohiyo ndo kazi ya msingi kabisa.

Ila kama nilivyoongelea hapo juu kwamba hii idara ilikuwa imevurugwa sana ndani ya miaka 20 ilopita.

Ndo mkaona watu wanaonyesha bastola zao kwenye mabaa huko na kadhalika.

Kaja mtu akaanza kuifumua ndo wengine wamegeuka na kuanza kuvujisha sri humu mitandaoni na kuibeza.
 
Unajiita "THE SEAL"...lakini maskini unaandika "M15" bro huna unachojua!
Mkuu asante sana kwa hili, ila kwa sasa na vile tiss ya leo iko huwezi ilinganisha hata kidogo na mabigwa kaa CIA, M15, au the dreaded and most feared spy agency in the world, the israel MOSSAD.

Hapo miaka ya nyuma, TISS ilikuwa imara kabisa, hata huko Kenya tiss ilikuwa inaheshimiwa kabisa, lakini TISS ya leo imejaa wanafiki wa UVCCM, na wewe unajionea vile mambo inakwenda.

Hii TISS ya leo imekuwa kazi yake ni kuteka na kuua, haswa wapizani au watu ambao CCM haiwataki, kumbuka Zachariah kule Mara mkuu?

Hii tiss ya leo ni A BRANCH OF CCM PERIOD,
 
Ndo uko sawa kabisa JKT inapaswa kurudi kisawasawa na mimi napendekeza vijana wakae kambini kwa miaka miwili.

Hii wanafanya Israeli na Korea Kusini na baadhi ya nchi zingine.

Hii itasaidia watu kushika moyo na kuonyesha wanaipenda nchi yao na wako tayari kuitumikia "no matter what".

Hata kama kuna kiongozi ambae na kasoro zake lakini linapokuja suala la ndege kuzuiwa nchi nyingine khasa ndege mpya watanzania wanaungana pamoja kutafakari juu ya mstakabali wa mali hiyo ya taifa.

Marekani pamoja na Donald Trump kufanya anayofanya lakini wakaikung'uta Syria kwa mabomu na sasa wanaishughulikia Iran na Korea Kaskazini, hiyo yote ni kwa "maslahi ya taifa" hilo.

Unafahamu hata nchi zilizoendelea likija jambo la "kwa maslahi ya taifa" wanageuka na kuunga mkono, hayo utaona kwenye televisheni, radio na magazaeti.

Masuala kama ya ugaidi na kutishia usalama wa mataifa yao wanaweza wakayaongelea kwa siku kadhaa masaa 24 na ukijaribu kubadilisha chennels habari ni hizohizo mpaka kieleweke mbele ya wananchi.

Viongozi mbalimbali, wasomi na watu wengine wa kada mbalimbali kwenye jamii wataitwa kwa interviews.

Sisi Tanzania kuna kitu kimeharibika ndani ya miaka 20 ilopita na tunapaswa kujitafakari na kujifunza uzalendo na kulinda maslahi ya taifa.

Akina Chenge, Ndugai na wengine waliotuingiza mkenge kwa mikataba mibovu wote walipitia JKT

Wametusaidia nini hao zaidi ya kututia hasara?

Uzalendo ni tunda la haki siyo kwata
 
Tatizo lenu mna uwezo mdogo mno wa kufikiria ,unajuaje Kama na mimi nimeiva ktk masuala ya intelligence?
Halafu ni wapi nimetukana zaidi ya kushauri?
TISS haiko imara ,ni kichaka cha CCM kufanya upumbavu wao.
Tungekuwa na TISS imara, hata uchumi ungekuwa imara, kwa sababu kazi za Taasisi Kama TISS ni kuhujumu mataifa mengine kwa maslahi ya nchi na siyo kuhujumu vyama vya siasa.
Ningeandika mazito ila namwonea huruma Melo watamtesa bure, hapa mbona nimeshauri tu, nikiweka nondo nzito hadi ikulu watapoteana.
Wewe kula ukalale huna unalojua, Tuachie sisi wanaume tuikosoe serikali.
Wewe hujaiva chochote ktk masuala ya intelligegence na ndio maana umeandika kitu cha ajabu kwamba TISS ya zamani ilikuwa ina uwezo mkubwa bila kuweka ushahidi tulinganishe, ukaleta stori za hisia ktk mfano wako hapo chini
Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.

Aliye iva angestuka mapema mno, waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba.
Ukiona haukumjua hadi kamaliza tukio/kazi ujue wewe ungekuwa kwenye field hiyo, tena active operative agent/officer in the field ungekufa zamani sana kwa kukosa sifa ya kunusa hatari mapema kabla haijatokea.

Wewe huna hata sifa ya kuwa detective wa makosa ya jinai chini ya jeshi la polisi.
 
Wewe kula ukalale huna unalojua
Ni kweli mimi hakuna ninalolijua kuhusu TISS sababu mimi sio mtumishi wa idara hiyo.
Afadhari mimi najitambua sijui kuhusu TISS kuliko wewe unajinasibu unajua kuhusu TISS na intelijensia kiujumla huku unaongea usiyoyajua.

Huyo anaekupa hadithi anakulisha matango pori tu, hamna kitu hapo.
 
Nyepesi nyepesi ni kwamba huyu Mzee mda sio mrefu atapumzishwa kutokana na afya yake, na pale kuna mnyukano kwani aliependekezwa na Mkulu wenyewe hawajamkubali kwamba amekaa nje ya Taasisi na ndani wapo wenye sifa za kakalia kiti ya Kapilimba, za chini chini mle ndani kuna two blocks Mona iko unataka atoke ndani upande mwingne unasema hata aliyependekezwa anafaa, tusubiri!
 
Kwa akili hizi Mali zetu nyingi zitaendelea kukamatwa huko duniani!!

Kama wasipolipa madeni ya watu zitakamatwa sana!

Unanunua wapinzani ili waachie majimbo yao kisha Unarudia chaguzi kwa gharama za mabilioni badala ya kutumia hizo pesa kulipa madeni matokeo yake unakuja kulaumu watu eti hawana uzalendo, uzalendo gani huo wa kiuwendawazimu?
 
Kama wasipolipa madeni ya watu zitakamatwa sana!

Unanunua wapinzani ili waachie majimbo yao kisha Unarudia chaguzi kwa gharama za mabilioni badala ya kutumia hizo pesa kulipa madeni matokeo yake unakuja kulaumu watu eti hawana uzalendo, uzalendo gani huo wa kiuwendawazimu?
Wana "uchu wa madaraka" Manyang'au hawa mpaka wamekuwa vipofu hawaoni mbele!!!
 
Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.

CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!
Kabisa kabisa uko sahihi !!!!!
TISS imeishaanza kudharaurika kabisa , Hii serikali ya Rais Magufuri kila kukicha Inachafuliwa na vijana waTISS , yaani wao kazi yao KUTEKA, KUUWA NA, KUTISHIA WATU MAISHA WAKOSOAJI WA SERIKALI UKU WATU WANAIBA MALI YA SILI , RUSHWA KAMA KAWA NA NDEGE NDIYO HIVYO TENA . SHAME ON YOU TISS , YOU ARE A NATIONAL LIABILITY 1!!!! #KIPILIMBA STEP DOWN.
 
Back
Top Bottom