Amina na asante!Huna unachokijua kaa kimiya
Katika wizi huo wote unaoutaja kuna wizi uliofikia matilioni yaliyoibiwa awamu hii.Hivi kuna TISS ilikuwa mbovu kushinda ya awamu iliyopita?? wizi wote huo kuanzia kagoda mpaka escrow..tena hapa hapa ndani, Dr. Kipilimba amerithi TISS mbovu huwezi mlaumu kwa yanayotokea sasa.
Well said. Hoja zinaposhindikana huanza kufikiria kwamba JKT ndiko wazalendo wanakopikwa.Uzalendo hautafutwi JKT bali ni matokeo ya haki katika taifa.
Leo wanaohubiri uzalendo ni wale waliopita JKT na wakapikwa huko miaka 2 lakini leo hii wao ndio hao hao
1) Mafisadi
2) Wauaji
3) Wanafiki wa kutupwa na wapenda vyeo
4) Wanaoamini mtu mmoja ndiyo pekee anaeweza kuitoa Tanzania mahali ilipo kiuchumi
5) Wanaokula njama njama za kubadili katiba ili wajiongezee muda wa kutawala.
Kama watu hawa walipita huko jkt na ndio wanatuongoza, unatarajia nini kutoka kwa waongozwaji? Lazima washangilie mali za nchi kushikwa maana wanaamini kufanya hivyo ni kuwakomesha watawala.
umekuwa mwalimu wangu sasa,na hata sikukualika usoma nilichoadikaUnajiita "THE SEAL"...lakini maskini unaandika "M15" bro huna unachojua!
Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.
Wewe mtu (mTanzania) inabidi nikuheshimu aiseee! Hii inakata hadi kwenye ini kabisa!TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.
Walipofushwa na shughuli zao nyingi mpya za hapa hapa nyumbani, za kuwapoteza watu na kuwashughulikia wapinzani. Nguvu kubwa kwa sasa imeelekzwa huku. Hayo ya msingi kabisa unayoyazungumzia wewe yamewekwa pembeni. Kupanga ni kuchagua, utawala wa sasa umeamua kuwashughulikia raia wa ndani (kwanza). Haijulikani wa huko nje nani anayashughulikia, au tupo wazi kabisa kama ulivyoonyesha kwa mfano huo ulioutoa wa ndege.TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.
Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.
TISS mngeweza kuepusha hii fedheha.
Hapa ndipo nakutupia heshima zote mkuu. Yaani umezungumza kwa uchungu mkubwa mno unaotuingia sote tunaoipenda nchi kuliko mengi mengine yaliyomo dunia hii.TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.
Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.
Wizi wa awamu hii hadi CAG anaonekana adui. Tulitegemea vyombo vya usalama na bunge vimpe ushirikiano CAG ila sasa ameonekana mwiba na adui mkubwa wa serikali ya hapa kazi tu! ha ha ha, yajayo yanafurahisha!.Katika wizi huo wote unaoutaja kuna wizi uliofikia matilioni yaliyoibiwa awamu hii.
Kama Usalama wa Taifa aka TISS, walikuwa wanajua hizo allegations kwanini HAWAKUJITOKEZA na kusema hadharani kuwa WALIIAMBIA Serikali au WALIIONYA Serikali kuhusu jambo fulani..Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakushauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa na taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Jamii forum imejaa wajuaji koko na mmoja wapo ni wewe. Yaani TISS waitishe press conference waseme tuliiambia serikali lkn haikusikia?Wewe mjuzi koko unajua mfumo wa utendaji kazi wa TISS?Nimesoma desa la huyo jamaa alipofika pa Musiba eti TISS imdhibiti kisa tu anawataja akina Membe,Makamba na wenzie nkaona huyu mtu ni mmoja ya wajuaji koko wa Jamii forum. Nachoona JF kila mtu mjuaji, yuko kitengo, ana kazi nzuri au mtu mkubwa serikalini. Yaani mtu anaunga unga vistory na kujaza propaganda za anachojua watu flani wanataka kusikia then anajiita mjuzi wa mambo. Forum imegeuka uwanja wa propaganda na siasa UCHWARA.Kama Usalama wa Taifa aka TISS, walikuwa wanajua hizo allegations kwanini HAWAKUJITOKEZA na kusema hadharani kuwa WALIIAMBIA Serikali au WALIIONYA Serikali kuhusu jambo fulani..
Vyombo vyengine vya Usalama au Ujasusi tunasikia na kusoma magazetini kila kukicha kuwa zimeonya au kuzishtua balozi zao au nchi zao kuhusu jambo fulani..
Mfano juzi juzi tu CIA wameionya Balozi ya Marekani Tanzania kuwa inawezekana kuna jaribio la kigaidi Tanzania
Mkuu Labda na wewe ni mmoja wa hao TISS, kama ni mmoja wapo basi kuwa muungwana na kubali tu kuwa hakuna "Tanzania Internal Security"..
Ukweli TISS ni mkusanyiko wa vijana wa UVCcm ambao kazi yao ni KUWATEKA, KUWAUWA , hata KUWAPIGA risasi, Watanzania wasiokuwa na hatia, ambao wana MAWAZO, MUONO na FIKRA tafauti na zile za CCM..
Shame on you guys..
Dah umeandika uzi wa kutoka moyoni mwangu kabisa.
Sio siri TISS wanatuangusha sana watanzania nimewai kueleza huko nyuma kuwa TISS ipo kisiasa zaidi kuliko kiuchumi.
Kama Magufuli anataka kweli nchi ya viwanda wauangalie mfumo wote wa hiyo I Dara, ila kama anatamani yeye au CCM yake mpya kutawala milele waiache ilivyo, lla kwa maoni yangu TISS ifumuliwe na kuundwa upya.
Hiiii inaitwa ndugu lawama kwani Dr Modestus Kipilimba ni mzawa wapi tuanzie na hapo kwanzaKwa mara ya tatu tena nakuandikia Mzee wangu Dr Modestus Kipilimba, mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa, TISS.
Natamani sana, Rais Magufuli awe wa kwanza kusoma hii mada kabla yako.
Nimeshindwa kuendelea na kazi niliyokuwa naifanya usiku huu kwenye Computer, moyo wangu umekosa amani kabisa hadi niandike hii mada.
Dr. Kipilimba, unadhani bado unastahili kuongoza Idara nyeti na muhimu Kama hii ya TISS?
Kwanini mikononi mwako serikali ya awamu ya tano inadhalilika sana kimataifa?
Kwanini Idara yako imeruhusu uwepo wa watu Kama Musiba wanaokashifu viongozi wakubwa hadharani?
Sikufundishi kazi, ila nashangaa kwanini hujui kuwa idara kama TISS ndo Roho kamili ya Tanzania.
Kifo cha TISS ni kifo cha Tanzania, kwanini hujifunzi magumashi ya CIA, MI5, Mossad na mashirika mengineyo kama TISS?
Ninaposema magumashi nadhani umeelewa vizuri kabisa, maana nikielezea itahitaji kitabu.
Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.
Tunajua ya kwamba dawa ya Deni ni kulipa, lakini ilikuwaje TISS ikashindwa kubaini kuwa Steyn kafungua shauri mahakamani dhidi ya Tanzania kudai mali yoyote ya nchi ikamatwe?
TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.
Ni aibu kubwa mno nchi kudaiwa na raia mmoja Halafu mali ya nchi kukamatwa kwa Deni nje ya nchi, hii fedheha kubwa.
TISS mngeweza kuepusha hii fedheha. Kama TISS, ilishindwa kubaini njama za kutaifisha mali ya nchi, je itaweza kujua nini kinapangwa Somalia na Alshabab kwa mfano juu ya nchi?
Dr Kipilimba, TISS chini yako ni dhaifu mno, nakushauri u resign tu. TISS chini ya Dr Hansy Kitine na hayati Imran Kombe ilikuwa imara kupindukia.
Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.
TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.
Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.
CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!
Izo resources wangeelekeza kwenye vitu vya msingi wangeheshimika, lakini sio hiki unachofikiria. Ila kama akili zao ni kama zako siajabu kwa haya yanayotokea, Maskini nchi yangu..Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakushauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa na taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Namna unavyojibu haya mawazo yangu kuhusu hili shirika linaloitwa TISS, ki saikologia wewe inaonyesha ni mtu wa aina gani..,wewe ni mbumbumbuJamii forum imejaa wajuaji koko na mmoja wapo ni wewe. Yaani TISS waitishe press conference waseme tuliiambia serikali lkn haikusikia?Wewe mjuzi koko unajua mfumo wa utendaji kazi wa TISS?Nimesoma desa la huyo jamaa alipofika pa Musiba eti TISS imdhibiti kisa tu anawataja akina Membe,Makamba na wenzie nkaona huyu mtu ni mmoja ya wajuaji koko wa Jamii forum. Nachoona JF kila mtu mjuaji, yuko kitengo, ana kazi nzuri au mtu mkubwa serikalini. Yaani mtu anaunga unga vistory na kujaza propaganda za anachojua watu flani wanataka kusikia then anajiita mjuzi wa mambo. Forum imegeuka uwanja wa propaganda na siasa UCHWARA.
Mtu juha kama huyu uwezo wa akili yake ni kudaka matukio anayosikia then anageuka loud speaker kuimba mara makinikia, sijui korosho...mambo ambayo hayana uzito wala effect kwa nchi, wewe jifunze kufanya vitu kwa njia halali, enzi za ujinga mliozoea hazitarudi tena, weka akili yako vzr, kupanua mdomo wako kulaumu hakutakusaidia chochote..fanya kazi, pimbi wewe!Wewe m.pumbavu usiejua hata kuandika na wewe ni "think tank" ya TISS?
Hebu niambie wale mliosema wameficha sukari mliishia wapi?
Makinikia mmeishia wapi?
Zile korosho mmeshawalipa wakulima?
Safari za ATCL mnazo cancel kila siku nazo vp?
Dola imepanda baada ya kunyang'anya hela na kufunga bureau de change?
Ajira mpya zimeishia wapi?
C.A.G naye ni fisadi? Mnona mnamuwinda?
ENDELEENI KUMPA USHAURI WA KIPUMBAVU MEKO ILI KULINDA MATUMBO YENU. TIME WILL TELL!.
Umeandika kwa uchungu sana mkurugenziUsichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakushauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa na taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Ukiwa kada wa ccm unaajiriwa! ukilaza wako haujalishi.Inasikitisha sana sijui wanatumia recruitment gani siku izi unabaki kujiuliza wanawatoa wapi
Mkuu kwani wewe ni TISS ?Jamii forum imejaa wajuaji koko na mmoja wapo ni wewe. Yaani TISS waitishe press conference waseme tuliiambia serikali lkn haikusikia?Wewe mjuzi koko unajua mfumo wa utendaji kazi wa TISS?Nimesoma desa la huyo jamaa alipofika pa Musiba eti TISS imdhibiti kisa tu anawataja akina Membe,Makamba na wenzie nkaona huyu mtu ni mmoja ya wajuaji koko wa Jamii forum. Nachoona JF kila mtu mjuaji, yuko kitengo, ana kazi nzuri au mtu mkubwa serikalini. Yaani mtu anaunga unga vistory na kujaza propaganda za anachojua watu flani wanataka kusikia then anajiita mjuzi wa mambo. Forum imegeuka uwanja wa propaganda na siasa UCHWARA.
Suala la korosho kwako halina uzito wala effect? hivi wewe hao waliokuajiri walikuokota wapi???!!!Mtu juha kama huyu uwezo wa akili yake ni kudaka matukio anayosikia then anageuka loud speaker kuimba mara makinikia, sijui korosho...mambo ambayo hayana uzito wala effect kwa nchi, wewe jifunze kufanya vitu kwa njia halali, enzi za ujinga mliozoea hazitarudi tena, weka akili yako vzr, kupanua mdomo wako kulaumu hakutakusaidia chochote..fanya kazi, pimbi wewe!