Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

Mama amesema hajaweka Nukta kwenye teuzi za Mawaziri.Huenda Kigwa amenusa kaharufu ka uteuzi.
 
Kigwangalla hajakosea.... lazima kuwe na consistency, kama mwendazake alipewa vipindi 2 kwa "utamaduni" wa CCM, mama nae apewe.
Ni ujinga kupambania eti aendelee hata 2025 haijafika. Mi nilidhani lazima kusubiri Hadi 2025 na kutathmini performance yake Kisha kufanya uamuzi
Wanaccm lazima tubadilike na tuachane na hii desturi
Wakati mwingine inaleta msukumo kwa Rais kuperform vizuri kwa kujua baada ya miaka 5 wanzake watamchallenge kwenye nafasi yake
Na hio ni kupanua demokrasia zaidi
 
Mbona kuna tamaduni nyingi tu za kijinga.... ndio hivyo tena! Waendelee na utamaduni wao, kwanini waone mbaya sasa hivi?
 
Hakuna wa kumpinga Mh. Rais 2025.
Ni lini Mwenyekiti akashindwa na anaowangoza?
Watanzania walio wengi uwa hawaeleweki, wengi wao ni bendera fuata upepo na mara nyingi ndio mtaji/maelekezo.
Tunaomba JF iweke kumbukumbu hii thread (2021-2025=4years) ni parefu kwa yeyote kubadili fikra/nature/maelekezo.
Siasa ni Sanaa ya Sayansi na Wakati.
 
Umenena vyema
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.

Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634
Kigangwalah hizi ndio Zake
20211207_144841.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Chawa kazini njaa kali huwa hawana uwezo wa kuishi nje ya mshahara hawa.
Hata uwape bilioni 12 kiinua mgongo
 
Chawa anatafuta sehemu ya kujishika. Njaa mbaya sana na haijawahi kumuacha mtu salama
 
Wana mikwara hawa jamaa utadhani kila mtu anauwezo wa kunyofoa watu kucha.

Ukienda huko instagram hadi poko famous wanabiti hilohilo ukimgusa mama sitakuacha salama.
 
Back
Top Bottom