SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,753
Huyo mke mwenzako Elitwege ndiye hana hojaJikite kwenye hoja
Huyo mke mwenzako Elitwege ndiye hana hojaJikite kwenye hoja
Ni ujinga kupambania eti aendelee hata 2025 haijafika. Mi nilidhani lazima kusubiri Hadi 2025 na kutathmini performance yake Kisha kufanya uamuziKigwangalla hajakosea.... lazima kuwe na consistency, kama mwendazake alipewa vipindi 2 kwa "utamaduni" wa CCM, mama nae apewe.
Mbona kuna tamaduni nyingi tu za kijinga.... ndio hivyo tena! Waendelee na utamaduni wao, kwanini waone mbaya sasa hivi?Ni ujinga kupambania eti aendelee hata 2025 haijafika. Mi nilidhani lazima kusubiri Hadi 2025 na kutathmini performance yake Kisha kufanya uamuzi
Wanaccm lazima tubadilike na tuachane na hii desturi
Wakati mwingine inaleta msukumo kwa Rais kuperform vizuri kwa kujua baada ya miaka 5 wanzake watamchallenge kwenye nafasi yake
Na hio ni kupanua demokrasia zaidi
Umenena vyemaHakuna wa kumpinga Mh. Rais 2025.
Ni lini Mwenyekiti akashindwa na anaowangoza?
Watanzania walio wengi uwa hawaeleweki, wengi wao ni bendera fuata upepo na mara nyingi ndio mtaji/maelekezo.
Tunaomba JF iweke kumbukumbu hii thread (2021-2025=4years) ni parefu kwa yeyote kubadili fikra/nature/maelekezo.
Siasa ni Sanaa ya Sayansi na Wakati.
Kigangwalah hizi ndio ZakeMbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.
View attachment 1818634