Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

sysafiri

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
1,018
2,000
Mama amesema hajaweka Nukta kwenye teuzi za Mawaziri.Huenda Kigwa amenusa kaharufu ka uteuzi.
 
Weakman

Senior Member
Jul 23, 2021
162
250
Kigwangalla hajakosea.... lazima kuwe na consistency, kama mwendazake alipewa vipindi 2 kwa "utamaduni" wa CCM, mama nae apewe.
Ni ujinga kupambania eti aendelee hata 2025 haijafika. Mi nilidhani lazima kusubiri Hadi 2025 na kutathmini performance yake Kisha kufanya uamuzi
Wanaccm lazima tubadilike na tuachane na hii desturi
Wakati mwingine inaleta msukumo kwa Rais kuperform vizuri kwa kujua baada ya miaka 5 wanzake watamchallenge kwenye nafasi yake
Na hio ni kupanua demokrasia zaidi
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,677

Mbona kuna tamaduni nyingi tu za kijinga.... ndio hivyo tena! Waendelee na utamaduni wao, kwanini waone mbaya sasa hivi?
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,052
2,000
Hakuna wa kumpinga Mh. Rais 2025.
Ni lini Mwenyekiti akashindwa na anaowangoza?
Watanzania walio wengi uwa hawaeleweki, wengi wao ni bendera fuata upepo na mara nyingi ndio mtaji/maelekezo.
Tunaomba JF iweke kumbukumbu hii thread (2021-2025=4years) ni parefu kwa yeyote kubadili fikra/nature/maelekezo.
Siasa ni Sanaa ya Sayansi na Wakati.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom