Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,725
- 2,008
Poti hiyo mwendazake jana nimesoma mahali huenda likaja kuwa kosa kutamka. Utahama Peramiho hadi kule maporini alikojenga mwamba mmoja akiitwa aidan - Litigation ndani huko(mkulima maarufu aliyependa kesi)Wameanza Tena?
Hawajifunzi tu hawa watu dah mwanasiasa sio mtu wa kumuamin akifa ghafla wataanza kumzodoa mama akina gambo Sasa wanatapika tu madudu ya mwendazake
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu kigwanga anateseka sana!! Uzuri ni kwamba mama ameshamjua!! Itabidi ajifunze kuwa unafiki haulipi!Inaitwa nitoke vp?
Njia ya kukumbukwa
huyu anaanza kumletea uchuro rais samia kama wengine walivyomletea uchuro Magufuli kuwa aoingezewa zaidi ya kipindi cha kikatiba.Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.
View attachment 1818634
Amempangua nani?huyu anaanza kumletea uchuro rais samia kama wengine walivyomletea uchuro Magufuli kuwa aoingezewa zaidi ya kipindi cha kikatiba.
Najua anatafuta attention tu lakini anasahahu kuwa alikuwa waziri wa Magufuli, ambao ndio sasa hivi mama anawapangua mmoja mmoja kuweka wake. Serikali yetu siyo taasisi inayojiegemea bali ni mali ya rais!
Kumekucha,,, kumekuchaa..!Inaitwa nitoke vp?
Njia ya kukumbukwa
jamaa kaamua kutoka kwa njia ya kusota...Inaitwa nitoke vp?
Njia ya kukumbukwa
kibaya mno eti anatumia mbinu ya kumjaza mama - anafikiri mama ni mwendazake !!Kigwangala hii ni nin?
Lazima ulazimishe uteuzi??
Aibu sana
ha ha ha, kijana naona unaumia sana tukisema Mwendazake eee!!! sasa washauri CCM waache tabia za kupamba viongozi ili wapate teuzi - muda huu si wa kujipamba pamba muda huu ni wa kuwapa watanzania matumaini mapya baada ya kuwa katika hali ngumu ya maisha kwa kipindi kirefu - Sidhani hata Mama Samia anapenda hiyo tabia ya kumpamba pamba...Hiyo mimba ya mwendazake unajifungua lini?
Mkuu umemaliza...ongeza neno atake asitake..uwakereMother apige hadi 2035, amalizie hii minne, then aanze yake kumi
Wewe mimba ya Mbowe unajifungua lini?Hiyo mimba ya mwendazake unajifungua lini?