Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
3,917
2,000
Huyo Viti maalum mwisho wake 2025.
Unaambiwa Bashiru ndio JPM wa pili, mtumishi wa wanyonge, kiboko ya mafisadi, mwanamapinduzi mwenye kubeba falsafa za kijamaa. Chini ya uongozi wake kama katibu mkuu wa chama alikinyoosha chama na kufanikisha kuvunja ngome zote za upinzani na kuondoa makundi ndani ya chama🤸🤣🐒
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
7,749

Kavalishwa dela bungeni, wacha anyooshe vidole juu hadi 2025, akalime
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,056
2,000
Wameanza kusifia tena, mpaka inafika hatua kiongozi anakosea hajui kama anakosea maana wote wanasifia.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
15,807
2,000
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.

Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634
😅😅😅
 
Kitombile

JF-Expert Member
Mar 21, 2021
487
500

Mi kumi tena kwa mama
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,880
2,000
Kigwangalla hajakosea.... lazima kuwe na consistency, kama mwendazake alipewa vipindi 2 kwa "utamaduni" wa CCM, mama nae apewe.
Consistency gani wakati yeye hajapitia kwenye mamlaka kamili ili ateuliwe. Angine kwenye ushindani na makada wengine kama Mkapa , Kikwete na Magufuli walivyopitia. Achukue fomu kama wenzake
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,164
2,000
Mbona bavicha mmepanic sana?

Kwani nyie hamtaki mama aende hadi 2030? Si mnademka humu kwamba yuko vizuri? Sasa kuna shida gani akienda hadi 2030?

Alafu nyie mwenyekiti wenu si kasma hamshiriki uchaguzi?
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
4,357
2,000
Hivi huyu analijua kaburi?
Jiwe alitukuzwa mwishowe kaburi likafanya yake.
Hebu aache ujinga, asimtilie uchawi mama yetu kipenzi.
 
mbwe

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
491
1,000
Nasimama na kigwangala kwa hili mama apite bula kupingwa had 2030 alafu baada ya hapo aongezewe muda wa ziada atake sitake hii kauli najua inawachoma sana fans wa mwendazake ila ukweli ndio huo kibao kimebadirika Sasa ni zamu yenu kuugulia maumivu makali
 
mbwe

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
491
1,000
Tutampinga ndani ya CCM na nje ya CCM
Utampinga ww na nani? Acha kuhara minyoo hapa ,dozi lazima iwakolee kisawa sawa maana mlitaka magu aongezewe muda kisa mna maslah binafs Sasa kibao kimegeuka ,pumbavu zenu
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,241
2,000
Hapo samia anajisikia raha au aibu? Huyu mtu anamdhalilisha rais kwamba tukimpinga tutakiona? Au anamaanisha wabunge wenzake maana sisi nzengo hawatuwezi.

Hata walimu waliomfundisha watakuwa wanaona aibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom