mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,173
- 2,873
Ukoo wenu nyie ndio wanyonge basi ataongoza ukoo wenu wa wanyongeUnaambiwa Bashiru ndio JPM wa pili, mtumishi wa wanyonge, kiboko ya mafisadi, mwanamapinduzi mwenye kubeba falsafa za kijamaa. Chini ya uongozi wake kama katibu mkuu wa chama alikinyoosha chama na kufanikisha kuvunja ngome zote za upinzani na kuondoa makundi ndani ya chama