.........................
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.
"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".
....
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ......................
Huwa wanafungia maandazi na vitumbua mkuu.Hili gazeti lingefungiwa
Lingekuwa ni Mwnahalisi ............... mchezo ungeshamalizika!!!Magazeti Kama haya ndiyo yanastahili kufutwa.
Naona hata alipochaguliwa Kassim Majaliwa , wanaona wameonewa.Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?
Hii dini ni janga jaman
LABDA WAO WALIPANGA KUMPELEKA BAKWATA!!!This is silly; kwani Dau alikuwa NSSF kwa niaba ya kuwatumikia watu wa imani moja? Wakati mwingine tutende haki tu; Dau alikuwa ni mtumishi wa umma na taifa lake linataka kumtumia mahali pengine tatizo liko wapi? Binafsi ningekuwa na uchaguzi ningempeleka Dau Bandari kule.
na kimakua tena...Ya Ibn el Sharmouta! "sawf al'iislamiat alwuquf bghd alnnazar eamma yahduth "
Hivi umesoma tena ulichokiandika kabla hujapost?Waislamu wanajua haki zao na kuzipigania kadiri wawezavyo .Si wanafiki wasiporidika wanasema bila kuongopa.Wakristu wanafiki wasiporidhika husemea chini ya meza.Utawala ulipopita kulikuwa na ulalamishi mkubwa kwenye teuzi mbali mbali na wengi walidai waislam wamekuwa wakipendelewa lakini Hakuna aliyepinga kwenye gazeti si la dini wala la ki jamii.Utakuta wanalalamika lalamika kwa chini chini.Kwa waislam nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwa hili huwa nawapongeza Sana.
This is silly; kwani Dau alikuwa NSSF kwa niaba ya kuwatumikia watu wa imani moja? Wakati mwingine tutende haki tu; Dau alikuwa ni mtumishi wa umma na taifa lake linataka kumtumia mahali pengine tatizo liko wapi? Binafsi ningekuwa na uchaguzi ningempeleka Dau Bandari kule.
Hamna mkuu hawa jamaa ni wa hovyo sana, ukisema kila mtu awe na hulka za nyeupe nyepe na nyeusi nyeusi TUTAFIKAAA...?Waislamu wanajua haki zao na kuzipigania kadiri wawezavyo .Si wanafiki wasiporidika wanasema bila kuongopa.Wakristu wanafiki wasiporidhika husemea chini ya meza.Utawala ulipopita kulikuwa na ulalamishi mkubwa kwenye teuzi mbali mbali na wengi walidai waislam wamekuwa wakipendelewa lakini Hakuna aliyepinga kwenye gazeti si la dini wala la ki jamii.Utakuta wanalalamika lalamika kwa chini chini.Kwa waislam nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwa hili huwa nawapongeza Sana.