Dkt. Bashiru usiturudishe kwenye ‘Tanzania ya giza’

Yale maujinga yako ya Twita unayaleta huku?
Huku ni home of great thinkers na sio kijiwe cha kujipendekezea kutafuta fursa. Hakikisha ukileta hoja yako uendelee kuitetea sio unatuchefua kisha unaikimbia hoja yako. Hapa sio mahali pa kuendekeza upuuzi wa kitoto.
Sasa twende kazi, kwa nini Bashiru asiseme kama Samia anapewa sifa zisizo zake katika kipindi hiki serikali imefeli katika mambo mengi tuu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyu ndiyo maana wenzake wanamnyuka,ovyo sana
 
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!

Dkt Bashiru,

Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi cha WaTanzania ameyafanya na anaendelea kutufanyia WaTanzania ndani ya muda mfupi wa miaka miwili Ikulu. Na kwamba unasonona kuona dunia inasema Rais wetu "ana upiga mwingi".. Ooops!!

Mmeharibu Nchi yetu kila Sekta, mmepa kazi ngumu Mama kuhangika kuiponya na kuirejesha Nchi yetu kwenye utimamu na afya yake, badala ya kumwomba radhi na kumpongeza unamzodoa na kumnyali bila aibu? Audacity hii unaipata wapi Mwana Mwendazake?

Hivi huoni kabisa Demokrasia na Haki za Binadamu zilizorejeshwa? Tulivyofunguliwa Nchi duniani kiasi cha kutwa awamu hii tunasemwa vema duniani ukilinganisha na awamu yenu? Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia yaliyoboreshwa? Mzunguko wa Fedha ulivyoongezeka mtaani hadi "vyuma vimekaza" yenu imeanza kufutika? Huduma za kijamii zilivyoboreshwa? Na mafanikio mengine nukuki yanaonekana? Kipofu huoni Mzee wangu?

Huoni Wafanyakazi wapya walioajiriwa baada ya nyie kutowaajiri kwa miaka mitano mfululizo na wala kutothubutu kuwaongezea mishara, kutowapandishia madaraja, na wala kuwalipa malimbikizo wafanyakazi kwa nusu muongo?

Wewe si ndiye aliyetufundisha wanafunzi wako pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kwamba mtu akifanya vema apongezwe ili afanye bora zaidi ya zaidi? Ulituongopea? Ulitulisha matango pori eti?

Hivi Mkikosa madaraka akili huwa zinawaruka mnatamani kila siku muwe nyie? Bashiru wewe ulikuwa Katibu Mkuu ambaye ulizuia Kila MTU asikosoe Serikali uliwafundisha watu wote wawe watu wa kusifia umesahau hili? Na atayekaidi watu wasiojulikana walimshughulikia?

Dr Bashiru wewe ndio unaingia kwenye Historia kuwa Katibu Mkuu uliyefeli kuliko Makatibu wakuu wote, Siasa zako zilikuwa za kununua Wapinzani, kuwalazimisha Wapinzani na Sio kuwashawishi watu wakipende Chama chetu cha Mapinduzi CCM, umesahau?

Bashiru wewe ndiye uliwanyima Uhuru wazee wetu akina Membe, Kinana, Mzee Makamba ukiwaziba mdomo wa kutoa hata mawazo yao mujarabu wa ajili ya Chama na Serikali yetu, je na uhalali gani wa kutukemea tusipongeze "upiga mwingi" wa Mama Samia?

Bashiru na genge lenu tunafahamu hamfurahii huu Uhuru anaoutoa Rais Samia mnataka kuturudisha huko nyuma kwa Wapinzani kukimbia Nchi, mnataka kuturudisha kwenye Nchi ya "Free Fulani katekwa," viroba vya maiti zimeokotwa baharini? Wakosoaji wamebambikiziwa kesi? Wamehohiwa uraia wao?

Tunajua hamfurahii kuona Mama akikaa meza moja na Wapinzani hili ndio linawatesa wewe na genge lenu, Punguzeni ubinafsi hii Nchi itajengwa na Watanzania wote bila matabaka yoyote.

Halafu kabla ya kutuambia haya uliyoyasema utuambie Lini ulirudisha kadi ya CUF na Lini ulipokea kadi ya CCM, maana tunakufahamu kama wewe ni mwanachama wa kukodishwa.

Tunawapa salamu wewe na hao wanaokutuma Mama Samia tupo nae hadi 2030. Msahau kabisa kufanikisha "kampango" kenu cha kitoto cha kutaka kuingia Ikulu 2025.

Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mama Samia umewanyoosha, walidhani utafeli, kiti cha Urais kitakupwaya, badala yake kiti kimekuenea na kila uchwao unaishangaza dunia kwa mafanikio yasiyomithilika, kaza hapo hapo, tuwajue wanapovujia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada kindakindaki wa CCM.
Novemba 20, 2022.
Simu: 0717027973

View attachment 2422422View attachment 2422423
We chawa utateseka sana
 
Nani kakwambia maendeleo ni kisifiwa na wazungu? Wewe unadhani wazungu wanapenda nchi ijitegemee?

Yaani kweli unaakili kusifia kuungwa mkono na wazungu?

Umeme hakuna. Mifumuko ya bei. Mitozo kila kona. Maji Hamna. Wezi na walarushwa wanatafuna nchi watakavyo. Uzembe umerudi kwenye SERIKALI.

Miradi ya SERIKALI haikamiliki kwa wakati. Waizi wanaridishiwa Pesa walizoibia watanzania.

Sasa hapo upime mwenyewe. Na sio kwa kishikiwa Akili. Watanzania wanajua Pumba na Mchele. Wao hawategemei kuishi kwa kulambishwa Asali.

SERIKALI iliyopita ilipendwa na watanzania wengi kwa sababu iligusa Maisha yao na kutatua changamoto zao kwa kiasi kikubwa na sio potojo.
 
Siku zinaenda kasi sana,mleta mada si ulikua ACT kindakindani wewe tangia lini tena umekua CCM kindakindaki,au nimekufaninisha?
 
Nasikitika kusema umeandika haya sio kwa ajili ya kukosoa ila kubwabwaja tu. Ukosoaji unaonesha udhaifu na unatoa suluhisho sasa kulingana na mada yako hujaweza kutuonesha udhaifu wa hoja ya Dkt.Bashiru na badala yake umefanya personal attack
Mkuu utaandamwa ila nashukuru kwa kuona ushabiki binafsi wa mleta mada kwa masirahi binafsi.
 
Jamani msijitoe fahamu kiasi hicho cha kuwaamini wanasiasa, kipindi huyo bashiru anavimba na kufanya yake huyo mpendwa wako alikua wapi na alikua nani, au na wewe ni mlamba asali
 
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!

Dkt Bashiru,

Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi cha WaTanzania ameyafanya na anaendelea kutufanyia WaTanzania ndani ya muda mfupi wa miaka miwili Ikulu. Na kwamba unasonona kuona dunia inasema Rais wetu "ana upiga mwingi".. Ooops!!

Mmeharibu Nchi yetu kila Sekta, mmepa kazi ngumu Mama kuhangika kuiponya na kuirejesha Nchi yetu kwenye utimamu na afya yake, badala ya kumwomba radhi na kumpongeza unamzodoa na kumnyali bila aibu? Audacity hii unaipata wapi Mwana Mwendazake?

Hivi huoni kabisa Demokrasia na Haki za Binadamu zilizorejeshwa? Tulivyofunguliwa Nchi duniani kiasi cha kutwa awamu hii tunasemwa vema duniani ukilinganisha na awamu yenu? Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia yaliyoboreshwa? Mzunguko wa Fedha ulivyoongezeka mtaani hadi "vyuma vimekaza" yenu imeanza kufutika? Huduma za kijamii zilivyoboreshwa? Na mafanikio mengine nukuki yanaonekana? Kipofu huoni Mzee wangu?

Huoni Wafanyakazi wapya walioajiriwa baada ya nyie kutowaajiri kwa miaka mitano mfululizo na wala kutothubutu kuwaongezea mishara, kutowapandishia madaraja, na wala kuwalipa malimbikizo wafanyakazi kwa nusu muongo?

Wewe si ndiye aliyetufundisha wanafunzi wako pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kwamba mtu akifanya vema apongezwe ili afanye bora zaidi ya zaidi? Ulituongopea? Ulitulisha matango pori eti?

Hivi Mkikosa madaraka akili huwa zinawaruka mnatamani kila siku muwe nyie? Bashiru wewe ulikuwa Katibu Mkuu ambaye ulizuia Kila MTU asikosoe Serikali uliwafundisha watu wote wawe watu wa kusifia umesahau hili? Na atayekaidi watu wasiojulikana walimshughulikia?

Dr Bashiru wewe ndio unaingia kwenye Historia kuwa Katibu Mkuu uliyefeli kuliko Makatibu wakuu wote, Siasa zako zilikuwa za kununua Wapinzani, kuwalazimisha Wapinzani na Sio kuwashawishi watu wakipende Chama chetu cha Mapinduzi CCM, umesahau?

Bashiru wewe ndiye uliwanyima Uhuru wazee wetu akina Membe, Kinana, Mzee Makamba ukiwaziba mdomo wa kutoa hata mawazo yao mujarabu wa ajili ya Chama na Serikali yetu, je na uhalali gani wa kutukemea tusipongeze "upiga mwingi" wa Mama Samia?

Bashiru na genge lenu tunafahamu hamfurahii huu Uhuru anaoutoa Rais Samia mnataka kuturudisha huko nyuma kwa Wapinzani kukimbia Nchi, mnataka kuturudisha kwenye Nchi ya "Free Fulani katekwa," viroba vya maiti zimeokotwa baharini? Wakosoaji wamebambikiziwa kesi? Wamehohiwa uraia wao?

Tunajua hamfurahii kuona Mama akikaa meza moja na Wapinzani hili ndio linawatesa wewe na genge lenu, Punguzeni ubinafsi hii Nchi itajengwa na Watanzania wote bila matabaka yoyote.

Halafu kabla ya kutuambia haya uliyoyasema utuambie Lini ulirudisha kadi ya CUF na Lini ulipokea kadi ya CCM, maana tunakufahamu kama wewe ni mwanachama wa kukodishwa.

Tunawapa salamu wewe na hao wanaokutuma Mama Samia tupo nae hadi 2030. Msahau kabisa kufanikisha "kampango" kenu cha kitoto cha kutaka kuingia Ikulu 2025.

Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mama Samia umewanyoosha, walidhani utafeli, kiti cha Urais kitakupwaya, badala yake kiti kimekuenea na kila uchwao unaishangaza dunia kwa mafanikio yasiyomithilika, kaza hapo hapo, tuwajue wanapovujia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada kindakindaki wa CCM.
Novemba 20, 2022.
Simu: 0717027973

View attachment 2422422View attachment 2422423
Sasa ndiyo umeleta hoja gani zaidi ya ujinga
Mamako hadi leo amefanya kazi gani zaidi uzururaji!
Mfumuko wa bei wa kutisha, alafu unaleta sifa za kijinga?
Wanafunzi wa elimu ya juu wamekosa mikopo!
Wizi wa fedha za serikali kila siku zinaibiwa!
Dr Bashiru ndiye alikuwa Katibu mkuu bora wa CCM, hadi mali za chama zilizoporwa zikarudi!
Na umwite mamako siyo mama wa watanzania
 
Dah kweli dogo,unatafuta cheo cha UVCCM kinguvu na CCM ilivyokua milofa itakupa[emoji16]
 
Kinachoniacha hoi ni wakati wakina bashuru na awamu yao walipokua wanaharibu nchi hawa waliopo awamu huu walikua wapi, au kuna ccm mbili labda?
 
Nani kakwambia maendeleo ni kisifiwa na wazungu? Wewe unadhani wazungu wanapenda nchi ijitegemee?

Yaani kweli unaakili kusifia kuungwa mkono na wazungu?

Umeme hakuna. Mifumuko ya bei. Mitozo kila kona. Maji Hamna. Wezi na walarushwa wanatafuna nchi watakavyo. Uzembe umerudi kwenye SERIKALI.

Miradi ya SERIKALI haikamiliki kwa wakati. Waizi wanaridishiwa Pesa walizoibia watanzania.

Sasa hapo upime mwenyewe. Na sio kwa kishikiwa Akili. Watanzania wanajua Pumba na Mchele. Wao hawategemei kuishi kwa kulambishwa Asali.

SERIKALI iliyopita ilipendwa na watanzania wengi kwa sababu iligusa Maisha yao na kutatua changamoto zao kwa kiasi kikubwa na sio potojo.
Hao ndio wale wanashangilia misaada ya vyandarua

Huku hao wazungu wakitupiga kwenye makinikia kwa mabilioni.

Akija mtu kutuambia tunaibiwa anainekana adui.
 
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!

Dkt Bashiru,

Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi cha WaTanzania ameyafanya na anaendelea kutufanyia WaTanzania ndani ya muda mfupi wa miaka miwili Ikulu. Na kwamba unasonona kuona dunia inasema Rais wetu "ana upiga mwingi".. Ooops!!

Mmeharibu Nchi yetu kila Sekta, mmepa kazi ngumu Mama kuhangika kuiponya na kuirejesha Nchi yetu kwenye utimamu na afya yake, badala ya kumwomba radhi na kumpongeza unamzodoa na kumnyali bila aibu? Audacity hii unaipata wapi Mwana Mwendazake?

Hivi huoni kabisa Demokrasia na Haki za Binadamu zilizorejeshwa? Tulivyofunguliwa Nchi duniani kiasi cha kutwa awamu hii tunasemwa vema duniani ukilinganisha na awamu yenu? Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia yaliyoboreshwa? Mzunguko wa Fedha ulivyoongezeka mtaani hadi "vyuma vimekaza" yenu imeanza kufutika? Huduma za kijamii zilivyoboreshwa? Na mafanikio mengine nukuki yanaonekana? Kipofu huoni Mzee wangu?

Huoni Wafanyakazi wapya walioajiriwa baada ya nyie kutowaajiri kwa miaka mitano mfululizo na wala kutothubutu kuwaongezea mishara, kutowapandishia madaraja, na wala kuwalipa malimbikizo wafanyakazi kwa nusu muongo?

Wewe si ndiye aliyetufundisha wanafunzi wako pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kwamba mtu akifanya vema apongezwe ili afanye bora zaidi ya zaidi? Ulituongopea? Ulitulisha matango pori eti?

Hivi Mkikosa madaraka akili huwa zinawaruka mnatamani kila siku muwe nyie? Bashiru wewe ulikuwa Katibu Mkuu ambaye ulizuia Kila MTU asikosoe Serikali uliwafundisha watu wote wawe watu wa kusifia umesahau hili? Na atayekaidi watu wasiojulikana walimshughulikia?

Dr Bashiru wewe ndio unaingia kwenye Historia kuwa Katibu Mkuu uliyefeli kuliko Makatibu wakuu wote, Siasa zako zilikuwa za kununua Wapinzani, kuwalazimisha Wapinzani na Sio kuwashawishi watu wakipende Chama chetu cha Mapinduzi CCM, umesahau?

Bashiru wewe ndiye uliwanyima Uhuru wazee wetu akina Membe, Kinana, Mzee Makamba ukiwaziba mdomo wa kutoa hata mawazo yao mujarabu wa ajili ya Chama na Serikali yetu, je na uhalali gani wa kutukemea tusipongeze "upiga mwingi" wa Mama Samia?

Bashiru na genge lenu tunafahamu hamfurahii huu Uhuru anaoutoa Rais Samia mnataka kuturudisha huko nyuma kwa Wapinzani kukimbia Nchi, mnataka kuturudisha kwenye Nchi ya "Free Fulani katekwa," viroba vya maiti zimeokotwa baharini? Wakosoaji wamebambikiziwa kesi? Wamehohiwa uraia wao?

Tunajua hamfurahii kuona Mama akikaa meza moja na Wapinzani hili ndio linawatesa wewe na genge lenu, Punguzeni ubinafsi hii Nchi itajengwa na Watanzania wote bila matabaka yoyote.

Halafu kabla ya kutuambia haya uliyoyasema utuambie Lini ulirudisha kadi ya CUF na Lini ulipokea kadi ya CCM, maana tunakufahamu kama wewe ni mwanachama wa kukodishwa.

Tunawapa salamu wewe na hao wanaokutuma Mama Samia tupo nae hadi 2030. Msahau kabisa kufanikisha "kampango" kenu cha kitoto cha kutaka kuingia Ikulu 2025.

Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mama Samia umewanyoosha, walidhani utafeli, kiti cha Urais kitakupwaya, badala yake kiti kimekuenea na kila uchwao unaishangaza dunia kwa mafanikio yasiyomithilika, kaza hapo hapo, tuwajue wanapovujia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada kindakindaki wa CCM.
Novemba 20, 2022.
Simu: 0717027973

View attachment 2422422View attachment 2422423
Unamaanisha kuturudisha nyuma kupi? Au kule ambako hakukuwa na mgao wa umeme?
Kule ambako maji kwa watanzania haikuwa anasa?
Kule ambako Miundombinu ilijengwa Kwa faida ya watz na wewe ukiwemo? Au unamaanisha nyuma ipi mkuu?
 
Yale maujinga yako ya Twita unayaleta huku?
Huku ni home of great thinkers na sio kijiwe cha kujipendekezea kutafuta fursa. Hakikisha ukileta hoja yako uendelee kuitetea sio unatuchefua kisha unaikimbia hoja yako. Hapa sio mahali pa kuendekeza upuuzi wa kitoto.
Sasa twende kazi, kwa nini Bashiru asiseme kama Samia anapewa sifa zisizo zake katika kipindi hiki serikali imefeli katika mambo mengi tuu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hii ndio mivijana ya UVCCM mimburura. Mfano mmoja ni huyu!
 
Mazwazwa walikosa fursa ya kuonesha uzwazwa wao, sasa imepatikana
 
Washenzi,wapumbavu,wachumia tumbo kama huyu mtoa post ndio wamefanya nchi yetu imekuwa ya ovyo hadi leo.nashindwa nikupe tusi gani litakalokufaa
 
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!
Tatizo nikwamba mmejaa unafiki bila aibu, malengo yenu nikusifia nakupata teuzi kwaajioi ya matu bo yenu, kipindi cha mwendazake kwann hamkukemea mabaya yake? Unatoaje sifa pasipostahili?

Matatizo yanayo ikumba jamii Ni mengi sana MAJI HAKUNA, UMEME WA MGAO unamsifia vip mtu?

Tupeni majibu sio kumkashfu Dkt. Bashiru amesema ukweli ACHENI MAMBO YA MODERN TAARABU
 
Back
Top Bottom