Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Sijui siku gani tutatnganisha kati ya CHAMA NA SERIKALI.
 
Uongozi ni kupokezana kijiti na kuna watanzania wengi tu ambao wanafaa kuwa viongozi nchi hii, so nothing special with bashiru, give us a break please!
 
Na hapo maza amemuonea haya tu ya kumtoa u CS bila kumtunuku nyazifa...so akaamua ampatie ubunge.

So Bashiru aendeleee andika papers walau ajivunie u prof maana hana maisha marefu kwenye anga za siasa hapa bongo.

Ni seme tu kila zama na zana zake.
 
Bashiru huu usiku wa leo ni mrefu sana kwake, atakesha akiwaza au kuumwa tumbo la kuharisha tu.
Mbaya zaidi ni msimu wa vikao vya bunge na yeye alitamani ajifiche ndani hata kwa mwezi mzima.

Nadhani mataga wa hapa JF watakuwa wamepata somo zuri tu kwa namna Bashiru alivyoshukiwa kama mwewe na wananchi punde baada ya kuwekwa kando.
 
Ni hatari sana kuomba watanzania wakuombee, ogopa sana, wengine wanakuombea kifo kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…