Ndio maana CDF aliomba maswala mengine awasilishe ofisini badala ya kwenye podium.Sasa nimeanza kuelewa jambo.Bashiru was fooled by some people walizokuwa na kiu ya nafasi za kiuongozi katika taifa wakitaka kuimanipulate katiba! Kitendo Cha kumpangia mama ziara ya siku 7 huku wakijua kuwa Mambo hayakuwa sawa hospitalini ni uhaini!
Hata hivyo ashukuru mama Hana hasira na amempuuza na kumsamehe! Akatubu na kumuomba mama msamaha pindi apatapo nafasi!
Kinywa kiliubwa ili kuumba, ila binadamu sie tunakitumia kuwasiliana.Kuna vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
Asante sana kwa nenoMethali 18:20
Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake,
Atashiba mazao ya midomo yake.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hebu weka ile clip chief !Kuna vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
Duu jamani usimnyanyapae mtu huijui kesho yake!Ndio maana CDF aliomba maswala mengine awasilishe ofisini badala ya kwenye podium.Sasa nimeanza kuelewa jambo.
Bashiru angetafutiwa hata Ubalozi,kwasababu anaenda kukutana na wale wabunge aliowanunua wengine wanaenda kuwa boss zake,kama kina Gekul na Silinde.
Nitashukuru maana mimi wakati anateuliwa KMK nilitaka kuiserve ikaniponyoka sikuipata tenaOk nipe muda
Kabudi, Mkumbo naye ni nani? Ngoja naye angalau apate kinua mgongo!Nyie! Mwalimu yule arudi akafundishe Bungeni anaenda kufanya nini???
Zig zag graph[emoji3]Katibu mkuu wa chama -> Katibu Mkuu Kiongozi -> mbunge wa viti maalum
Mliosoma sayansi hii graph inaitwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwezi wa January Bashiru alikua anakaa nyumba iliyotengwa kwa ajili ya katibu mkuu wa CCM.
Mwezi wa February akahamia nyumba ya katibu mkuu kiongozi
Mwezi wa March amehamia kwenye nyumba yake Changanyikeni nyuma ya chuo kikuu Cha Dar.
Nyumba tatu ndani ya miezi mitatu. Akija Dodoma atakua anafikia gesti Haus
Diminishing marginal return.Katibu mkuu wa chama -> Katibu Mkuu Kiongozi -> mbunge wa viti maalum
Mliosoma sayansi hii graph inaitwaje?