Dk. Tulia asota Dodoma

Kwani mkiwa kwenye basi linaloendeshwa na dereva wa mwendo kasi je mnaonaga chochote nyie si ndio mzee

now i understand which kind of people am chating with, umemaliza msemo wa jesca na sasa umekuja na mwingine wa mwendo kasi, sio mda utakuja na msemo mwingine. na ndio kazi yenu hiyo mnayoiweza na mtaishia kuwa watunga misemo.
 
bila shaka ww ushalegeza sana suruali, unaweza npa hints namna ya kulegeza?
It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt
 
now i understand which kind of people am chating with, umemaliza msemo wa jesca na sasa umekuja na mwingine wa mwendo kasi, sio mda utakuja na msemo mwingine. na ndio kazi yenu hiyo mnayoiweza na mtaishia kuwa watunga misemo.

Nani unaye chati nae hapa..jesca?/?
Hapa ni jukwaa huru na hoja huru..
Kuchati ni huko fb na misukule wenzio..
 
now i understand which kind of people am chating with, umemaliza msemo wa jesca na sasa umekuja na mwingine wa mwendo kasi, sio mda utakuja na msemo mwingine. na ndio kazi yenu hiyo mnayoiweza na mtaishia kuwa watunga misemo.
Misemo inayowaingia kumoyo na inawawewesesha mpaka mezuia kazi za wanasiasa
 
now i understand which kind of people am chating with, umemaliza msemo wa jesca na sasa umekuja na mwingine wa mwendo kasi, sio mda utakuja na msemo mwingine. na ndio kazi yenu hiyo mnayoiweza na mtaishia kuwa watunga misemo.
It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt
 
Mheshimiwa Tulia kaza uzi .usicheke na hiyo misukule kutoka UFIPA tena mwambie Speaker vikao vyote awe anakuachia wewe wasuse wasisuse vikao vinaendelea na mwisho wa siku watarejea kama ilivyo kawaida yao.
 
watunzi wa vitabu waje watunge kitabu cha huyu mama, kizazi chetu kijacho kwa kweli kiwe kimkumbuke,
 
Maji Marefu, Maji Marefu, Maji Marefu. Juzi ulikuwa India kutibiwa, kumbe ushapona. Yumekusubiri saana Kata za Mkomazi, Mazinde na Mombo ili tukupe kilio chetu cha Kilimo cha Skimu ya Mpunga kwa kutumia maji ya Mto Mkomazi, lakini unatupiga chenga, sawa kaka umeshapata ulichokitaka sie tumebaki na kilio chetu. Miaka mitano sio mingi, itapita utakuja!
 
hivi mfano Trump ndio mtanzania anavyoongea vile kwa utawala wa jpm nadhani angekuwa keko au segerea, manake jamaa anafyatua ile mbaya
 
Maji marefu juzi aliongea pointi ya msingi sana mpaka nikadharau elimu ya bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…