Dk. Tulia asota Dodoma

Dk. Tulia asota Dodoma

So hili linamwathiri vipi Dr Tulia? Wala halimwathiri kwa lolote. Mnazidi kumpa umaarufu tu.


Kila anapokuwepo Dk. Tulia, Ukawa wanaondo na hata kusababisha protokali kuvurugika. Ni kwa kuwa, Ukawa wameweka msimamo wa kutoshirikiana ama kutoshiriki shughuli ambayo yeye (Dk. Tulia) anashiriki.

Hivi ndivyo ilivyotokea leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma muda mfupi baada ya Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu kumaliza kuzindua Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano.

Baada ya Waziri Mkuu kumaliza hotuba yake na kufuatia zoezi la ugawaji vitabu vinavyoelezea mpango huo kwa ajili ya kujisomea katika taasisi na baadhi ya viongozi mbalimbali.

Katika uzinduzi huo mshehereshaji aliyefahamika kwa jina moja la Mzee Mavunde, alianza kuita viongozi mbalimbali ili kuchukua vitabu kwa ajili ya taasisi ama makundi yao.

Ulipofika wakati wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwenda kuchukua kitabu kuwakilisha kambi hiyo, mshereheshaji alimwita mnadhimu mkuu wa kambi hiyo ambapo hakutokea.

Baada ya kuonekana kwamba, hakuna anayejitokeza kupokea kitabu hicho, haraka haraka Steven Hillary Ngonyani,Mbunge wa Korogwe Vijijini maarufu kwa jina la Prof. Maji Marefu alichomoka moja kwa moja na kwenda kupokea kitabu cha mpango huo wa miaka 5 kwa niaba ya kambi ya upinzani bungeni.

Kitendo hicho kiliwafanya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao walikuwa ukumbini hapo pamoja na wageni wengine kuangua kicheko.

Ukawa wamekuwa wakitoka bungeni pale Dk. Tulia anapoongoza bunge hilo. Hatua hiyo inatokana na malalamiko yao kwamba, kiongozi huyo wa Bunge anaendesha taasisi hiyo kwa kupendelea CCM.
 
anatumika vibaya hyu dada ila mda ukifka ccm watamtupa mbal kama toilet paper
 
umeaza kufundisha kiswahili tena?
Hoja yako wewe nini zaidi ya kuwaita wenzio vilaza?Kwani Kilaza maana ake nini mtu asiyejua kutofautisha L na R unamwitaje?Mada inazungumzia nini na wewe umechangia nini?Mchango tu wa mtu na jinsi anavyochangia inatosha kujua who is he or she? so kabla haujamuita mtu Kilaza angalia the way he/she urgue mburula wewe
 
Hoja yako wewe nini zaidi ya kuwaita wenzio vilaza?Kwani Kilaza maana ake nini mtu asiyejua kutofautisha L na R unamwitaje?Mada inazungumzia nini na wewe umechangia nini?Mchango tu wa mtu na jinsi anavyochangia inatosha kujua who is he or she? so kabla haujamuita mtu Kilaza angalia the way he/she urgue mburula wewe

i don see any point across ur lines,
 
Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.

we Lofa Wa Lumumba, hiyo picha ya Dr Slaa itoe unamdhalilisha bora uweke ya kinana katibu wako Wa chama
 
i don see any point across ur lines,
Mahamuma kama wewe hauwezi kuona chochote nenda kalegeze suruali na ikibidi kale bangi kabisa, unafikiri hapa ni jukwaa la bongo flava, ila angalia tu usije ukaanza kula nyunga
 
Back
Top Bottom