Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Ukiona mtaani kuna mtu anajiita Mesi mchunguze utagundua ni bwege tu, sijui hili la maji mafupi.
Siyo kila kitu kinapita kama gari la mwendo kasiHuu mgomo dhidi ya naibu spika utapita kimya kimya Na maisha yataendelea kama yalivyokuwa.!
Kama mnaweza kumtoa Mbowe uenyekiti Mh. Tulia atang'oka lakini kama hamuwezi ndio kabisaaa huyo mama hatoki. Kwa lipi mtakaloweza kumtoa? Hata kura zenu hazitoshi. Nyumbu wakuu wanawageuza kama samaki anavyokaangwa. Hatoki mtu hapoWamng'oe tu hana maana.
Kila anapokuwepo Dk. Tulia, Ukawa wanaondo na hata kusababisha protokali kuvurugika. Ni kwa kuwa, Ukawa wameweka msimamo wa kutoshirikiana ama kutoshiriki shughuli ambayo yeye (Dk. Tulia) anashiriki.
Hivi ndivyo ilivyotokea leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma muda mfupi baada ya Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu kumaliza kuzindua Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano.
Baada ya Waziri Mkuu kumaliza hotuba yake na kufuatia zoezi la ugawaji vitabu vinavyoelezea mpango huo kwa ajili ya kujisomea katika taasisi na baadhi ya viongozi mbalimbali.
Katika uzinduzi huo mshehereshaji aliyefahamika kwa jina moja la Mzee Mavunde, alianza kuita viongozi mbalimbali ili kuchukua vitabu kwa ajili ya taasisi ama makundi yao.
Ulipofika wakati wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwenda kuchukua kitabu kuwakilisha kambi hiyo, mshereheshaji alimwita mnadhimu mkuu wa kambi hiyo ambapo hakutokea.
Baada ya kuonekana kwamba, hakuna anayejitokeza kupokea kitabu hicho, haraka haraka Steven Hillary Ngonyani,Mbunge wa Korogwe Vijijini maarufu kwa jina la Prof. Maji Marefu alichomoka moja kwa moja na kwenda kupokea kitabu cha mpango huo wa miaka 5 kwa niaba ya kambi ya upinzani bungeni.
Kitendo hicho kiliwafanya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao walikuwa ukumbini hapo pamoja na wageni wengine kuangua kicheko.
Ukawa wamekuwa wakitoka bungeni pale Dk. Tulia anapoongoza bunge hilo. Hatua hiyo inatokana na malalamiko yao kwamba, kiongozi huyo wa Bunge anaendesha taasisi hiyo kwa kupendelea CCM.
Tunagomea anachokandamizaUkawa ni wasanii tu,huyo Tulia ndie anaeidhinisha posho iingie kwenye akaunti zao mbona hawazigomei?
Watasusa weee Tulia ndio spika japo walau kwa sasa,ninachoona wanampa kiki tu za kisiasa
Ndio mlivyoambiwa na mganga wenu maji mafupui?Kama mnaweza kumtoa Mbowe uenyekiti Mh. Tulia atang'oka lakini kama hamuwezi ndio kabisaaa huyo mama hatoki. Kwa lipi mtakaloweza kumtoa? Hata kura zenu hazitoshi. Nyumbu wakuu wanawageuza kama samaki anavyokaangwa. Hatoki mtu hapo
Posho siyo Demokrasia inayogandamizwavipi posho wanachukua? au nazo wamesusa
Kwani mambo ya kike "hufanywa" na nani kama si madume?Mambo ya kike kufanywa na midume mizima ni aibu.
Wazile- wasizile shauri yao, nani anayejali? tuna mambo mengi ya kufanya siyo hayo ya kubembelezana kama watoto yatima
yes indeed! UKAWA = umoja kamili wa WALA POSHONdio mnayopanga kwenye basi la mwendo kasi?
Posho ni haki yao ya msingi acha wivu mkuu, wasusie posho kwa sababu gani?Posho ni kodi yako mzee, posho sio hisani ya BungeUkawa ni wasanii tu,huyo Tulia ndie anaeidhinisha posho iingie kwenye akaunti zao mbona hawazigomei?
Watasusa weee Tulia ndio spika japo walau kwa sasa,ninachoona wanampa kiki tu za kisiasa
Katika maelezo yako na hii hafla naibu spika amehusika vipi, au ni usingizi wa mchana?Kila anapokuwepo Dk. Tulia, Ukawa wanaondo na hata kusababisha protokali kuvurugika. Ni kwa kuwa, Ukawa wameweka msimamo wa kutoshirikiana ama kutoshiriki shughuli ambayo yeye (Dk. Tulia) anashiriki.
Hivi ndivyo ilivyotokea leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma muda mfupi baada ya Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu kumaliza kuzindua Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano.
Baada ya Waziri Mkuu kumaliza hotuba yake na kufuatia zoezi la ugawaji vitabu vinavyoelezea mpango huo kwa ajili ya kujisomea katika taasisi na baadhi ya viongozi mbalimbali.
Katika uzinduzi huo mshehereshaji aliyefahamika kwa jina moja la Mzee Mavunde, alianza kuita viongozi mbalimbali ili kuchukua vitabu kwa ajili ya taasisi ama makundi yao.
Ulipofika wakati wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwenda kuchukua kitabu kuwakilisha kambi hiyo, mshereheshaji alimwita mnadhimu mkuu wa kambi hiyo ambapo hakutokea.
Baada ya kuonekana kwamba, hakuna anayejitokeza kupokea kitabu hicho, haraka haraka Steven Hillary Ngonyani,Mbunge wa Korogwe Vijijini maarufu kwa jina la Prof. Maji Marefu alichomoka moja kwa moja na kwenda kupokea kitabu cha mpango huo wa miaka 5 kwa niaba ya kambi ya upinzani bungeni.
Kitendo hicho kiliwafanya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao walikuwa ukumbini hapo pamoja na wageni wengine kuangua kicheko.
Ukawa wamekuwa wakitoka bungeni pale Dk. Tulia anapoongoza bunge hilo. Hatua hiyo inatokana na malalamiko yao kwamba, kiongozi huyo wa Bunge anaendesha taasisi hiyo kwa kupendelea CCM.
Kalivyo cheusi kama msudani kusini.
Posho wanchukua mkuu kwa mujibu wa ibara ya 73 ya katiba vipi ulitaka apewe mkeo ambaye hata katiba ya 73 haimtambui?vipi posho wanachukua? au nazo wamesusa
Huu mgomo dhidi ya naibu spika utapita kimya kimya Na maisha yataendelea kama yalivyokuwa.!
Yetu macho.!Tunajua mmeshakula haramu nyingi ,tunajua litapita lakini halitapita hivi hivi