Dk slaa vs jk vote nani zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk slaa vs jk vote nani zaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NDEO, Oct 22, 2012.

 1. NDEO

  NDEO JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 814
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Piga kura ya (ndio or hapana)Dk slaa na jk
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkuu hiyo kura twapiga vipi?au ni kwa kuandika comment ya ndio ama hapana?nipe majibu niweze kupiga kura yangu plz.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tupeleke ombi kwa uongozi JF wawe na kitu kama hicho ambacho kura itapigwa kutokana na ID ya mtumiaji wa JF ndiyo itakayotuhakikishia ukwali kamili, lakini hii ya kutumia maoni mmoja anaweza kuingiza maoni zaidi ya 50 na zikahesabika kura hamsini kumbe ni mmoja yule yule.
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yes man good idea.
   
 5. NDEO

  NDEO JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 814
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  That's good idea
   
 6. m

  mourad77 Senior Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kura kwa jmk
   
 7. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi mtu unaweza kupigisha kura kati ya jiwe na nazi? (mtu ambaye ni dhaifu ni sawa na nazi")
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sio sahihi kupambanisha Barcelona (slaa) na kariakoo lindi (Dhaifu)
   
 9. Yabice

  Yabice Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Much respect! Ni ngumu sana kulinganisha speed ya Bajaj na Boeng 700! Ni sawa kupgia kura Picha ya mgombea na kivuli kisicho na mhusika!
   
 10. Sanene

  Sanene Senior Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dr slaaa yuko juuu
   
 11. Sanene

  Sanene Senior Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dr slaaa yuko juuu
   
 12. j

  jiwemlima New Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamwe huwezi kumfananisha JMK na huyo slaa, JMK yuko juu sana.
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu wewe unaona nani zaidi? Usichukie kutokana na ukweli kuwa maswali ya hovyo hujibiwa hivyo hivyo.
   
 14. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  unaweza kufananisha MASAKI na TANDIKA au DAR ES SALAAM na ARUSHA . utamfananishaje mshindi wa u RAIS wa NCHI na mgombea asiyeshinda (BABU) ............ hivi mtu kafunga ndoa juzi (kaoa) utamfananisha na rijali . mwanaume mjanja ,mswahili, mtoto wa Bagamoyo aliyekulia kariakoo . anaongea na GEORGE BUSH , OBAMA etc . unamfananisha na mstaafu anayetakiwa awe analipwa pension yake .........mods ondoa hii
   
 15. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dhaifu......ngumu kumeza teremshia na maji....
   
 16. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe unafananisha barcelona(slaa) na maji maji fc(rubani)?
   
 17. Babb-Babbjrtz

  Babb-Babbjrtz Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK kiboko weeeeee

  Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kwa kucheka?
  kwa wizi?
  kwa kutalii?,
  kwa kujikanusha?
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama hii nayo ni thread ya kuchangia jamani. Precisely, jibu liko wazi kabisa kuwa Dr Slaa ni zaidi ya JK. Dr Slaa ni wa kumpambanisha na Hon. Lowassa tu.
   
 20. Mura Weito

  Mura Weito Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani zaidi kwa lipi sasa mimi hapa sijakuelewa emu nifafanulie ni uzaidi gani unaoutaka bac!
   
Loading...