Dk slaa vs jk vote nani zaidi

jm kanal wa jesh,waziri kwa zaid ya miaka kumi.rais wa nchi,mwenyekiti wa chama kitaifa unataka kumlinganisha na huyo mtembeza sumu bar za uswahilini msaliti wa kanisa
 
Hebu uwe na akili wewe mleta mada japo kiduchu!!!!
Unauliza wadau wanampenda nani ua nani zaidi???!!!
Kwa vigezo gani???!!!
Huwezi fananisha gari inayotembea na engine iliyo ndani ya nyumba kwa hali yoyote iwayo!!!!

Kuwa objective weka vigezo na score sheet kama uko serious
 
jm kanal wa jesh,waziri kwa zaid ya miaka kumi.rais wa nchi,mwenyekiti wa chama kitaifa unataka kumlinganisha na huyo mtembeza sumu bar za uswahilini msaliti wa kanisa

hahahaaa! hilo nalo neno
 
Back
Top Bottom