"Dk. Slaa" uvaaji gani huu?!

"Dk. Slaa" uvaaji gani huu?!

Status
Not open for further replies.
Bora prez wangu Slaa kashonesha yakwake Dhaifu ye kahongwa na wale mabasha!
 
NGuo zote gwanda Sa kaalikwa sehemu ya heshima afanye je? Imebidi apige hodi kwa jirani! Aazime angetupia na mgorore angetoka!
 
Dah hajaitendea haki suti, nakumbuka kulikuwa na gazeti lina katuni la makosa ya kuvaa suti. Moja ilikuwa kupiga suti na ndala, lingine kubeba mfuko wa Rambo ukipiga suti, naona hili la tatu.

nF0Mp.jpg
 
Wewe kwel Pukudi! Hao wengine wamevaa suti? Utumwa wa kifikra. Mbulu wa watu sio fashionista. Ngoja tuiondoe nyinyiemu madarakani aafu mkafungue fashion show ya green kwa hisani ya redds
NGuo zote gwanda Sa kaalikwa sehemu ya heshima afanye je? Imebidi apige hodi kwa jirani! Aazime angetupia na mgorore angetoka!
 
Kwani kuwa kiongozi lazima kuvaa suti unaweza kutoka kama ulivyo na busara zako zikathaminiwa vile vile
 
Dah hajaitendea haki suti, nakumbuka kulikuwa na gazeti lina katuni la makosa ya kuvaa suti. Moja ilikuwa kupiga suti na ndala, lingine kubeba mfuko wa Rambo ukipiga suti, naona hili la tatu.

nF0Mp.jpg

Unataka kuniambia Dr Slaa kamuiga huyu kijana.
 
Hawara wake alikua wapi mpaka akatoka ivyo...hali iyo ajaolewa akiolewa si atamuacha padre atokea Kama kinyago
 
Labda shida zenu nyie watu wa kaskazini sisi Watanzania shida zetu tatazitatua wenyewe!

Nilidhani naongea na mtu!!

Mie mmatengo wewe!! Hiyo silaha haiwasaidii tena, bado mnaitumia haya!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom