Huu ni uvaaji gani wa KOTI jamani, nawasilisha
Huu ni uvaaji gani wa KOTI jamani, nawasilisha
Hawara wake alikua wapi mpaka akatoka ivyo...hali iyo ajaolewa akiolewa si atamuacha padre atokea Kama kinyago
Wewe unajua hilo kabila lake yaani kuvaa ni hawajui kabisa.Hata usafi ndo kabisa sema huyu kwa sababu yupo mjini ndo anaiga watu wa mjini wanavyoishi samahani kwa kusema ukweli.
Huu ni uvaaji gani wa KOTI jamani, nawasilisha
Juzi nilisema kuwa tafiti za kisayansi zinaonyesha kuwa watu wanapigia kura mtu anaevaa nguo zinazomkaa vyema na kama Dr.Slaa anataka kura zao ajirekebishe uvaaji.
Sasa hiki cha leo ni nini? Ndio uvaaji gani huu? Umakini wake uko wapi?