"Dk. Slaa" uvaaji gani huu?!

Status
Not open for further replies.
hahahahaha ni bora hata huyu anayevaa hivi lakini mwisho wa siku anawafikiria watanzania kuliko Jay Kay bingwa wa kutupia lakini linapokuja suala la watanzania anabaki anachekacheka
 
Wazungu wanamsanifu tu jua kali wenyewe wamevaa kawaida Baba Junior katupia suti ya mchina.

Copy to chama, zomba, Maundumula,

Mkuu Ritz
Ahaa haa Baba Junior amevaa suti au suti imemvaa? Mambo ya mtumbani hayo! Kwani alikuwa na ulazima wa kuvaa suti? Molemo alikuwa wapi si ndio mpambe wa karibu? Yaani ametutia aibu sana uvaaji gani huo; utafikiri ndio anatoka leo kijijini kwao; au huyo ni pacha mwenzake mwenyekiti wa kijiji? Mkuu Ritz mtafute Molemo atupe majibu hii aibu kuvaa hajui halafu anataka uraisi! Na ajifunze kuvaa kwanza


Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom