Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
vita vina mbinu nyingi na vikosi vingi,cdm kama jeshi linajua propaganda zote za vita.
ni kikosi gani kitangulie.
ni silaha gani zitumike kwa wakati gani.
kwa arumeru chama kitatumia busara kwani uzoefu umeonyesha zikirudiwa chaguzi ndogo tano ccm itafilisika kwa sababu inatumia umasikini wa watanzania kununua kura.
igunga iliyokuwa ngome yao walinunua kura moja kwa tsh 200000, arusha ni ngome ya cdm pamoja na kuwa jimbo lilikuwa lao,hapa tunategemea watanunua kura moja kwa tsh 5000000 sasa zidisha mara wapiga kura 50000 wa jimbo la arumeru jibu utalipata.
500000*30000=15000000000.