Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

mimi sio shabiki wa CDM lkn NAICHUKIA sana CCM na wote wanaoshabikia pia.
 
All politics is local slaa aende Armeru akione cha Mrema kuni anajidai anakubalika kila mahali thubutu!!!
 
We chizi kweli, Tz nzima wanatamani Dr. agombee kwao na atashinda kwa kishindo, lengo letu ni kutoa nafasi kwa majembe mengine, najua kilikua kinakukerketa sn na magamba wenzio, ss mwaona ahueni bt ndo mtalia kilio cha kusaga meno.
 
kwa sisi ma great thinker tunajua kuwa hawezi kushinda sasa anajikosha kosha tu hana lolote

Hapo nilipobold ilitakiwa iwe hivi Narrow thinker kwani hakuna great thinker anayezungumza/andika kitu bila kutoa sababu kama ulivofanya wewe,Ulichokifanya ww kinasadifu unarrow thinker wako.
 
tumesalitiwa,tumenyonywa, tumeisha,
dk ni kibiko chenu magamba,
how much are you paid, hata kama ni milioni hiyo kazi ya laana,wizi ,ubabe,dhuluma, kudanganya kamwe sitaikubali daima!
Lugha gongana; Sijakusoma
 
After being put down by JK in the previous presidential vote, Slaa's appetite for public post seems to have been severely wrecked. That literally was the final time the priest-turned-politico ever contested election. Mbowe should get himself prepared to bear party's flag in the forthcoming poll because it is virtually impossible to prevail upon Slaa to re-think his decision. ,

In your dreams!
 
This a lost generation type of assessment of the dying empire. How powerful is CCM among common Wananchi after Mkapa? What do you learn from frequent civil servants' strikes? Just be patient to witness the irrelevance of your assessment as majority of Tanzanians have reached their maximum tolerance level of keeping the ruling elite.
 
Radhia, u might have some brain problems!!! hebu go and chek for cerebral malaria!! kama hutakua na tatizo bac itabidi wakuwahishe MILEMBE!!.
 
Wasiojua hawataki kujua kuwa Dr Slaa Tanzania ni zaidi ya wanasiasa tulionao anawaza kuwa na Tanzania yenye watu walioelimika,wenye uwezo wakutumia rasilimali zao siyo viongozi wa magamba ambao wanafikilia matumbo yao tu

Dr SLAA IS ANOTHER LEVER IN THIS COUNTRY
 
Nakumbuka Slaa, alisema atagombea kipindi kimoja tu kumbe bado anautamani Urais.
 
Chadema nomination contestant in the Arumeru East by-election, Mr Joshua Nasari, 26, has said that he was ready to talk with party leaders on the possibility of withdrawing his bid in favour of secretary general, Dr Willibrod Slaa, if the latter was interested in the seat.

"I have heard through social media that Dr Slaa might contest this seat. This would be a welcome development as it would enhance Chadema's prospects for winning the poll, which is our ultimate goal," [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]
 
Chadema nomination contestant in the Arumeru East by-election, Mr Joshua Nasari, 26, has said that he was ready to talk with party leaders on the possibility of withdrawing his bid in favour of secretary general, Dr Willibrod Slaa, if the latter was interested in the seat.

"I have heard through social media that Dr Slaa might contest this seat. This would be a welcome development as it would enhance Chadema's prospects for winning the poll, which is our ultimate goal,"

Hii ndio faida ya kutegemea mtu mmoja katika chama. Muacheni babu wa watu, asije akadhalilishwa kwa mara nyingine, kipigo cha nyani alikipata 2010 na mpaka sasa bado analamba madonda.
 
Chadema ni chama chenye kuona mbali sana na nina uhakika mwaka 2015 Kitachukua nchi maana CCM wameshindwa kuwawajibisha mafisadi wao eti kinawaomba watafakari!! Sasa sisi tunasema CCM wawakumbatie mafisadi wao na Chadema kiwakumbatie wananchi.

Arumeru sasa tumeamua hatutachagua mtu bali tutachagua chama na chama chenyewe ni CHADEMA. Kwahiyo nyie msiumize kichwa tuleteeni mtu yeyote lakini asiwe muislamu. Sio kwamba hatutaki uislamu au tunawachukuia hapana kwani tunajua sote tuna
 
hapo ulipo leta udini duu naona unataka kutuletea UMWANAASHA. naona fikra zako mwenyewe zinapingana, kuwa walete mtu yeyote, mara msilete mwislamu!. Mkuu, mi naona jipange upya alafu ulete thread tena.
 
After being put down by JK in the previous presidential vote, Slaa's appetite for public post seems to have been severely wrecked. That literally was the final time the priest-turned-politico ever contested election. Mbowe should get himself prepared to bear party's flag in the forthcoming poll because it is virtually impossible to prevail upon Slaa to re-think his decision. ,

virtually impossible, YES! Logically, NO!
 
Back
Top Bottom