Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

Mtu kijifanya hampendi mkewe na wakati ndiyo anazidi kuchanua ndani ya nyumba.....si ujinga?? Chadema mtu akikikandya ajue ni sawa na kumgomea mke unayelala naye kitanda kumoja na siku ya siku kitumbo ndi.Chadema kitakuwepo, kitachanua na wengi watakifia.
So 30 people from 100 people wasipokipenda Chama is almost like two drops of water in the sea
 
Mkuu, hayo maneno unauliza yametoka wapi tena! Ni maneno ya Slaa alioyatamka wakati ameombwa kugombea urais 2010.

Mkuu, kwani huwezi kuwaelimisha watanzania huku upo kwenye nafasi ubunge? Mbona kina Zitto, Mbowe, Mnyika, wote ni wabunge lakini wanapata nafasi ya kuwaelimisha watanzania.

Chama chochote IMARA/MAKINI ni lazima kiwe na Katibu Mkuu MAKINI.

Ukivuruga hapo uimara wa Chama haupo.

Uliwataja wote si watendaji wakuu wa kila siku wa shughuli za Chama pale Makao Makuu.
 
Dr Slaa kokote anakubalika aimarishe chama ndo lamsingi aende huko kwenye kampeni!!
 
Hakuna CCM wala CDM,they are owned by the same person.Viini macho tu. Wajinga ndio waliwao
 
Watu wenye busara na hekima hata maamuzi yao huwa yana busara na hekima.
Big up my visionary leader Dr WS
 
Safi sana dr, wenye uzembe wa akili wanajulikana tu bila hata kuwapa maswali
 
Kwa busara ya huyo Priest nilijua hatagombea kwa ushawishi wa magazeti.
 
I knew how that priest is staunch and firm politically.Dr.wait for Magogoni in 2015.
 
Exactly! I expected such an answer from the allmighty His excellence Dr.WPS.

hilo neno kwenye red lina maana gani nimelitafuta kwenye kamusi zipatazo tatu sijaliona ama ume miss spelling ulimaanisha almighty? kama ni hivyo nadhani hilo sio neno sahihi hapo ulipolitumia.
 
kwa sisi ma great thinker tunajua kuwa hawezi kushinda sasa anajikosha kosha tu hana lolote

CCM impeleke Mukama basi. maana naona hana kazi ka kufanya. Dr WS sio wa level ya ubunge tena mkuu. he has been there 10 years plus.

mpelekeni Mkama ambae hajui hata bungeni kukoje
 
hilo neno kwenye red lina maana gani nimelitafuta kwenye kamusi zipatazo tatu sijaliona ama ume miss spelling ulimaanisha almighty? kama ni hivyo nadhani hilo sio neno sahihi hapo ulipolitumia.

Amemiss speling tu. Pale alipotumia hainashida, alimaanisha kuwa chaguo tukufu la aliyemkuu (yaani Mungu).
 
Nimfurahishwa na uamuzi wa Dr. WPS, nina imani Kijana Joshua atafanya vizuri. Kuipeperusha vema bendera ya CDM
 
ha ha ha ha, mtu anayeshabikia xxm kwa mazingira ya sasa ni zao la gamba,gamba lenyewe,mfaidikaji kupitia magamba, asieona mbele na mjumbe wa shetani mjukuu wa lusufa FINISHED
 
Kwanza nawashangaa wote wanaodhani kitendo cha Dr. Slaa cha kutogombea Arumeru Mash. ni cha uoga wa kushindwa! Mwanasiasa mwenye malengo makubwa na ya muda mrefu hawezi kufikiria mambo madogo kama hayo, wakati kuna makubwa yanayohitaji kujengwa kwa manufaa ya wengi. Tanzania ni jimbo kubwa ambalo kila mtu anayejiita mwanasiasa anlilenga. Leo tunashuhudia minyukano ndani ya "CHAMA KIKUBWA" kuwania jimbo hilo kwa kuchafuana, kuitana majina ya hovyo n.k, Lakini wanasiasa makini wanajua kuwa ushindi unakuja kwa kuwa na mtaji. Katika nchi hii ambako mgombea binafsi anaogopwa na watawala kama ukoma basi mtaji unaobakia ni wa kuwa na chama imara kinachoweza kusema kwa matendo. Wakati wa ujenzi wa Ujamaa enzi za Mwalimu, aliwahi kuwakemea viongozi waliokuwa wanahubiri ujamaa majukwaani, wakti matendo yao kwa hakika ni ya kibepari. Aliwaita viongozi kama hao kuwa "WANAIMBA KIJAMAA NA KUCHEZA KIBEPARI". Mambo hayo ndo yanayoendelea hivi sasa. HUREEEE DR. SLAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom