Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

mbona wameenda muda mrefu kwenye hayo matangazo ya biashara? wengine tuna mambo ya kukimbilia mjini..
 


Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu
Kazalishwa tuu ndoa mchezo
 
Hawa jamaa wa mawingu wameamua kusawazisha kabla hajaingia ikulu. kama walidhani watamshinda kwa kuargue basi wamechemka!
 
Anajibu swala la ndoa anasema ni personal issue ambayo huwezi kuizungumzia kwenye hadhara.
anasema ni swala binafsi anaomba aachiwe yeye na mchumba wake
 
anasisitiza kuwa ndoa ni mkataba kati ya watu 2, waliopeleka mahakamani wameingia mitini...atamalizia kwa tartib za dini
 
Anajibu swali la yule naibu katibu mkuu znz aliyowyazungumza pale jukwaani mwembe yanga jana, asema kama walioshutumiwa wanaona wametukanwa inabidi wao nidio waende kwenye vyombo husika kulalamika
 
Hivi matundu manne ya choo wka shilingi millioni 700 huko bagamoyo imekaaje kisha watu wanasema elimu ya bure inashindikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…