Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Hadi ruzuku jombaa anajikopesha utadhani CDM ni SACCOS!..
Haya ndo matatizo ya kuanza mapenzi ukubwani na kutembea na watoto wa mjini unanogewa hadi unakabidhi hati za nyumba, mbaya zaidi ni kwa mke wa mtu mwingine..

haa,haa,haa..jf ni zaidi ya yote.
 
Kumbe Rais wetu mtarajiwa Dr.Slaa ni masikini anategemea chama chake kimkopeshe tatizo liko wapi hapo?Si bora anayekopa kuliko anayeiba na anayepokea rushwa kama wewe uliyetumwa kwa kupewa takrima.TShs milioni 140 ni kitu gani kumbe hata haifikii vijisenti vya Mh.Chenge?Wewe endelea kuwa tumikia popo na magamba wakikugeuka wanakuulimboka.
 
Mwanaharamu ni yule aliyemkana mama yake ni kujipachika kwa Josephine!!!

Chama
Gongo la mboto DSM

chama, kwenye jukwaa la great thinkers unatoa hoja nzuri na za kistaarabu sana. Lakini sijui ni kitu gani kinakupata kila ukiwa kwenye hili jukwaa la siasa maana unajikita kwenye cheap and tacky propaganda. Kwa mfano hapo kwenye red, mwanaume mzima umekaa chini na ukaandika hayo maneno ya fedheha kiasi hicho?
 
TUNTEMEKE tuchukulie hayo madai yako ni kweli, hivi Dr. Slaa ni kilaza hadi aende na Josephine kuchukua hizo pesa hadi akabidhiwe mbele ya wajumbe wengine?

Kwa maana nyingine hapa sio tu unamtuhumu Slaa kwa deni, ila kuwa kashikwa masikio na Josephine na ndie msingi wa maamuzi yake. Hasa na hio in relation na madeni yaliyopo kwenye nyumba ambazo zina majina ya Josephine.
 
Last edited by a moderator:
Daaa...yaani matusi kwangu maji...naogopa ban.\jibu hoja.mm ni legend wahayo yote unayo yafikiria kichwani mwako..punguza hasira twende taratibu.Haya unasemaje?
Wewe ni taahira watanzania wanachohitaj ni ukomboz kutoka mikononi mwa CCM sio umbea wako kuhusu dk slaa kila cku 2ambie wewe umekisaidiaje CHADEMA mpaka kufika hapa kilipo
 
Sijui kama nimesoma vizuri lkn mleta mada anasema Dr mejikopesha(hakuiba) michango ya wabunge kwenye chama then anasisitiza kuwa ni kosa kujikopesha ruzuku!!Je,michango ya wabunge ni ruzuku??
 
Naomba kuuliza chadema ni malaika maana naona watu wanatukana bila hata kutaka kujua undani wa story yenyewe.hata kama tumeichoka ccm tusiwe na mawazo haya ya kwamba chadema ni malaika sana
 
Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Tukiassume kuwa ni kweli alikopa kiasi hicho:

a. Masharti ya mikopo hiyo yanasemaje?
b. Dr. Slaa aliweka nini kama collateral ya kuweza kupata mikopo hiyo?
 
Wewe ni taahira watanzania wanachohitaj ni ukomboz kutoka mikononi mwa CCM sio umbea wako kuhusu dk slaa kila cku 2ambie wewe umekisaidiaje CHADEMA mpaka kufika hapa kilipo

acha kukariri wewe ukombozi utaletwa na m2 yeyote yule sio lazima chadema.
 
Kama ruzuku tu akakula hivyo,je akiachiwa benki kuu? Hii ndio bongo bana, ukipata nafasi lazima umege kipande chako. Inaweza kuwa huyu mzee sio mwizi lakini anapata msukumo kutoka jikoni.
Tuntemeke ni kiboko.
 
Mi najiuliza,vipi atawatoa kwenye umasikini wakati ananunua funiture za mil 40?
 
Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.

Sasa we si ujibu tu Kama kweli au si kweli maana wewe ni mmoja ya watu walio ndani ya cdm .alafu kwanini ishu za slaa zikiletwa hapa baada ya kujibu mnaleta matusi Kama vile wao nimalaika hawakosei. Zikiletwa ishu za watu wengine walahamtaki kujua chanzo mnamuhukumu
 
Sasa we si ujibu tu Kama kweli au si kweli maana wewe ni mmoja ya watu walio ndani ya cdm .alafu kwanini ishu za slaa zikiletwa hapa baada ya kujibu mnaleta matusi Kama vile wao nimalaika hawakosei. Zikiletwa ishu za watu wengine walahamtaki kujua chanzo mnamuhukumu
Issue za slaa zinakuhusu nini wewe nani ndani ya CDM kalalamika pelekeni huo umbeya wenu wa lumumba kwa nape
 
Back
Top Bottom