Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.

Mwanaharamu ni yule aliyemkana mama yake ni kujipachika kwa Josephine!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Ritz
Hiki chama kimegeuka saccos? unakumbuka mweka hazina alibadilishwa kwa zengwe jingi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Aisee, kila ukilala ukiamka, suala ni cdm na Dr Slaa, duh, kazi unayo mdau
Yaani jamaa sasa anaboa kinoma, hata kama ni Propaganda ama ni chuki sasa zinakuwa hazina mshiko kabisa
 
Kwa hiyo mulipo mkopesha mulikubaliana muje mudaiane kwenye mtandao wa jf?.
 
nawewe nirudishie laki tatu zangu za kiwanja ulizo kopa. ama kweli kila mtu ni mwizi ila anakosa nafasi!
 
Naona mkuu kashindwa kutangaza vita mpaka anasaidiwa na mwamba wa kaskazini mkristo lowassa kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh!

rudi kule ulikimbia jana na yule mwehu mwanzako matola nawasubiri hapa tunamjadili fisadi Dr. Slaa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tuntemeke unawivu wa first lady kupewa hati za nyumba na kupata mkopo lakini kama na wewe unataka mkopo nenda nssf ukakope na kama unataka hati za nyumba na wewe nenda ukawe bi mdogo.
 
Enhe! Anadaiwa, Haya nimekubali upuuzi wako.
Amesema halipi? Amekataa kulipa?
Umeleta hii mada ili tujadili nini au tukujadili wewe jinsi ulivyo mjinga? Idiot nyingine
 
Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.

Mara zote uozo wenu ukiwekwa wazi mnakuja na hoja za watoto wa chekechea. Hapa tunahitaji hoja zenye akili, kanusha kwa ushahidi au nenda kanyonye tuache wakubwa tujadili.
 
Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu. Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo. Huyu ni sawa na mwanaharamu.

Mkuu asante kwa kutufumbua macho! Kumbe hawa magamba miongoni mwa mbinu zao za kichovu zilizobaki ni kujaribu kuzusha upuuzi kama huu ili kuvuruga jambo linaloonekana kuteka attention ya wananchi kisiasa hasa pale CHADEMA inapoamsha wananchi! Thank you very much for this useful info.
 
Dr Slaa kama James Bond, hawa viumbe wanamchanganya kabisa huyu gume gume Josephine yuko kimaslahi zaidi vipi hajaomba na pick up za msaada ya kuendea sokoni?
 
We kweli ni tahira yani dr slaa aache kukiimarisha chama haje hapa kujibu 2huma zako mavi kweli wewe,, kama una ushaidi nenda mahakamani ukafungue kesi au kama unauchungu kazae

Daaa...yaani matusi kwangu maji...naogopa ban.\jibu hoja.mm ni legend wahayo yote unayo yafikiria kichwani mwako..punguza hasira twende taratibu.Haya unasemaje?
 
Hadi ruzuku jombaa anajikopesha utadhani CDM ni SACCOS!..
Haya ndo matatizo ya kuanza mapenzi ukubwani na kutembea na watoto wa mjini unanogewa hadi unakabidhi hati za nyumba, mbaya zaidi ni kwa mke wa mtu mwingine..
 
Na hii ni mwanzo tu, imagine akiwa President-hazina sijui itakuaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mara nyingi napata wasiwasi kwa 'umalaika' wanaopewa wapinzani humu nchini, jaman-jamani na wao ni binadamu wanatokana na sisi TUSITEGEMEE MAKUBWA KUTOKA KWAO. Tuamue tu kama nikubadilisha mlaji ila ulaji uko palepale, tena afadhali magamba wamekula wanakaribia kushiba ila tukiwapa hawa CDM, tumekwisha coz hadi washibe sio leo!!!!
TANZANIANS, WATCH OUT!!!
Huyu Mzee kashatekwa na Mapenzi atafanya fyongo nyingi-SIO YEYE SAA HVI, aliruka steps.
 
Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.


Wacha kupotosha watu, wewe Kama una uchungu na hizo hela za cdm Embu scan receipt moja tuu inayo onyesha ulichangia cdm....Tehe Tehe zito + gamba at work. Ulishawahi kumuona shekhe akifanya kazi msikitini akaenda kula kanisani?????? Hoja yako haina mashiko kajipange upya
 
Mmmmmh! Ndugu mbona unaleta habari ambazo kama nzito sana na ni ngumu kuzielewa hivi hivi! Ukweli ni upi na uzushi ni upi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom