Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.

Damu atamwaga yy,josephine na RoseKamil
Tz yetu ipo sawa
 
Wewe mjusi acha ujinga wako kwani slaa ninani katika jamhuri ya muungano wa Tanzania,jaribuni fujo muone.
unathibitisha kauli ya mwenyekiti wa ccm ya kuamua kuangamiza wananchi wake tunajua baada ya kuangamiza idadi isiyohesabika ya wananchi anayemtafuta ni dr slaa
 
Dr.W.Slaa huna nyimbo. Wewe unaposema nchi haitatawalika huwa ni sawa tu?

Gongo baya.

Sasa msituletee ujinga tuna-nyuka tu.
 
Last edited by a moderator:
Damu atamwaga yy,josephine na RoseKamil
Tz yetu ipo sawa
mumezidiwa kamwambienu mwenyekiti wa ccm aache kiburi nchi yetu sote hakuna aliyejuu ya sheria aomve radhi wananchi kupitia tbccm kama alivyotangazia umma
 

Simtambui Kikwete kama ndo Rais wa JMT 2010/15,matokeo yamechaka huliwa afu akiniiya ikulu naenda gonga juice
 

msengerema weeee!
 
Dr.W.Slaa huna nyimbo. Wewe unaposema nchi haitatawalika huwa ni sawa tu?

Gongo baya.

Sasa msituletee ujinga tuna-nyuka tu.
ndio sera za mwenyekiti wa ccm na ccm mutakaponyuka nanyi mutanyukwa namuonaje atakapibalazwa vibao mwenyekiti wenu kwa kuvuruga amani ya nchi
 
Last edited by a moderator:
Akili za gongo wapi Rais kataja vita.

Umeamua kujichetua akili kwa ujira wa 7000,Halafu naona leo mmekuja juu,mmetishiwa kunyimwa ujira ndiyo mnaongea kila neno linalokuja mdomoni kwako bila kuangalia unacoment nini,una mtetea msera inya kwa upumbavu anaoutoa,Kikwete ni msera inya.
 
Ccm msitishie watu,tutapambana na ninyi mpaka tone la mwisho subirini sasa tupewe maelekezo kenge nyie.
 
Simtambui Kikwete kama ndo Rais wa JMT 2010/15,matokeo yamechaka huliwa afu akiniiya ikulu naenda gonga juice
tatizo lenu na mwenyekiti wenu nu kudhani ikulu na mali yenu na mama zenu kumbe ni taasisi ya nchi sasa hivi tumepangisha mpangaji wa hovyo tangu kuzaliwa kwa taifa hili ikulu pamegeuzwa pango la wanyang'anyi wauza unga na najangiri
 
Hata angemaanisha kwamba CCM wajibu mashambalizi ya Chadema kwa ngumi kwa ngumi , au kibao kwa kibao au teke kwa teke bado angekuwa sahihi na huo sio uchochezi maana unashambuliwa huwezi kukaa kimya.

Slaa ajipange naona hizi cheap politics anazocheza zinaanza kudoda.
 
Haya drama ingine kutoka kwa Dr.Slaa sasa sijui BAVICHA watafuata yapi ya Lema au Dr.Slaa.

drama kutoka kwa dr slaa au kikwete? acha kipindisha mambo kubwa sima.
this time rais mwenyewe kafungua uwanja wa mapambano,vijana wa ccm watawavamia wapinzani kwa kisingizio wanajilinda,hawataki kuwa wanuonge so pathetic
 
WAKRISTO POPOTE MLIPO UNYONGE BASI tumevumilia sana uonevu wa hawa jamaa zetu kumbe wanatumwa na Rais kutuua na kutuchomea nyumba zetu za ibada,sasa nasema tumevumilia sana tumefika mwisho,atakae jaribu tena tunajibu mapigo mpaka Ikulu.
 
amri jeshi mkuu akifikia kuanzisha vita ya wenyewe kwa wenyewe anapaswa kuondolewa a kwenye ufalme hafai tena kuwa raisi mlezi wa wote hachukui upande anatafuta chanzo na kukikabili hajawai kuongea damu zinazotirilika arusha mwanza mbeya songea iringa je huyu raisi analinda tabaka fulani la wananchi wake
 
tatizo lenu na mwenyekiti wenu nu kudhani ikulu na mali yenu na mama zenu kumbe ni taasisi ya nchi sasa hivi tumpangisha mpangaji wa hovyo tangu kuzaliwa kwa taifa hili ikulu pamegeuzwa pango la wanyang'anyi wauza unga na najangiri

dada leo umeamka na stress sana, nenda kagonge kiroba uondoe Loki
 
ndio sera za mwenyekiti wa ccm na ccm mutakaponyuka nanyi mutanyukwa namuonaje atakapibalazwa vibao mwenyekiti wenu kwa kuvuruga amani ya nchi

Mwaka huu mtasema sana, lakini ndivyo ilivyo, mkifanya kwiii tunawanyuka. Sisi ndio tunawaongoza, mtafata tukitakacho mkitaka msitake, kama si kwa hiyari basi kwa nguvu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…