Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.
We vipi? Mbona umeng'ang'ana na neno, "vita ya wenyewe kwa wenyewe", Kauli hii kaitoa nani na wapi? Au ndio ajenda yenu chadema? Yaani inawezekana vipi we uwe hujamdhuru mtu, unafanya siasa zenye kufuata demokrasia na sheria halafu akaja mtu akamwaga damu yako! Labda huo ndio mpango wenu chadema. Mnahofu pengine ccm itajilinda basi mnalalama kutwa kucha humu Fb, acheni mawazo ya laana hayo!
acha upuzi agenda ya mwenyeki wa ccm unaihamishia chadema kaombe marejeo ya kauli ya kikwete tbccm kasema na kutangazia taifa hajijui anachosema ndio maamuzi lazima wananchi watekeleze miundu visu majambia mapanga yananolewa hakuna atakayekuwa mnyonge sera za ccm za mauaji
 
huyu babu slaa anazeeka vibaya, inabidi ashikwe kwa nguvu akapimwe akili milembe
 
Dr.Slaa yaani nyie mnawapiga mapanga raia na kuwamwagia tindikali muachwe tu.

Unafikiri vurugu zikishamiri hizo mali mlizowadhulumu watanzania mtazitumia? bora muogope vita, mkivishadadia itawa cost nyie mafisadi kuliko mnavyodhani, achana na vita pia achana na raia waliochoka, hawataogopa mtutu wako, but i am sure we mtutu unauogopa balaa, mali zako atarithi nani!
 
Huyu naye akamatwe tu...tumechoka kuona Chadema wakichochea vurugu kwa kupotisha kauli za JK.Jk alichomaanisha ni CCM wajibu mapigo kwa maneno..kwamba wakisemwa wasikae kimya..na wenyewe wajibu kwa hoja.....uchochezi huu ukilelewa utafanya nchi isitawalike.

Elimu yako tafadhali. Maana tunaona unaandika andika vitu ambavyo m/kiti hajasema. Amesema "tunaenda kushindana na vyama vigomvi, kahama wametoa mtu macho, igunga wakamwagia tindikali, acheni unyonge uvumilivu una mwisho." Haya alimaanisha nini hapo?
 
endelea kumfurahisha kikwete anayeingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe akumbuke msoga atapaona kama sayari ya mercury raisi anatangaza kupambana na wananchi wake zinamtosha kwelu

chadema mkileta vurugu ni kichapo tu hakuna msamaha
 
Shida ya kuchukua wacheza bao uswahilini kuwapa nchi kutatugharimu sana Tanzania'

Rais walau alikuwa Mkapa, kwa hili tatizo siwalaumu sana Watanzania wenzangu maana walichokifanya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wanakijua wenyewe, na tusipokuwa na Tume huru ya Uchaguzi tusije tukashangaa janga lingine.
 
Akili za gongo wapi Rais kataja vita.
 
Hakuna haja ya kumpima akili, ni K.U.M.K.A.M.A.T.A kwa nguvu na kumfikisha Mirembe.

mkuu, mimi nina wasi wasi sana na utimamu wa akili ya slaa, labda dogo dogo Josephine anampeleka mchakamchaka
 
mkuu, mimi nina wasi wasi sana na utimamu wa akili ya slaa, labda dogo dogo Josephine anampeleka mchakamchaka
unachojua ni kauli za mwenyekiti wa ccm za uongo epa watarudisha pesa pesa inaenda kwenye akaunti zake ni na majina ya wazungu wa unga majangiri kumbe familia yake nu wahusika
 
Dr.Slaa yaani nyie mnawapiga mapanga raia na kuwamwagia tindikali muachwe tu.

Mkuu Ritz mnawabembeleza nini hawa wehu?!

Saivi ni kujipanga tu namna ya kuwatwanga hawa wehu hakuna kingine mwenyekiti wa ccm aemsema!

Wakati wanawapiga watu walikuwa wanaona raha,leo kibao kimewageuzia wanaanza kulalama!!

Waache waje waipate,hawa jamaa wamewafanyia mbaya sana watu wa Igunga,Biharamulo,Busanda,Arusha na Tarime!

Waache tuuuu....waache tuuuuuuuu.....waache tuuuuuu........haki ya mama yani hawa tayari wameiingia kwenye 18........halafu watamu saaaaaaana!!!
 
Last edited by a moderator:
SLAA hapaswi kushangaa kauli ya JK, kwa vile wao ni waumini wa kauli kama hizo na kuchapisha kwenye mitandao ya kijamii machapicho ya kichochezi. Kauli kama hakuna kulala mpaka kieleleweke, nchi haitatawalika na nyingine nyingi ni kauli mbaya sana kuliko ushauri huu alioutoa JK kwa wafuasi wa chama chake.
Vilaza bana yani hawajui tofauti ya kauli za mkuu wa nchi na watu baki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom