Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.
Kweli ni PUMBA! LAKINI UNAPOMUITA MZINZI ASKOFU NDIPO NA WEWE UNAPOJIKANYAGA! MAASKOFU WAKINA PENGO BWANA! KWA USAFI WAO HATA WAKIKOHOA WAOVU WANATETEMEKA!

Samahani mkuu kwa kukosea, hivi hilo joho alilovaa, linavaliwa na kiongozi mwenye cheo gani?
 
Ndiyo ujiulize kwa nini wanaachwa MAHAKAMANI wakati POLISI ndiyo wanaofanya upelelezi. MAHAKAMA nazo zimegundulika zimejaa mahakmu wachagga. Haiwezekani LEMA anafanya uhaini tena wenye ushahidi wa maandishi , mahakama zinamuachia.

Ndugu yangu thatha, siyo kwamba aliachiwa kwa kushinda KESI, bali aliwatoroka POLISI MAHAKAMANI. Hivi inaweza kukuingia akilini kweli eti mtuhumiwa mwenye PINGU wa mauwaji kama haya anawatoroka POLISI wenye SILAHA? Halafu leo mnatupandikizia CHUKI watu wa KASKAZINI? Hivi kwa utawala wa kiimla wa namnahii, kuna mwananchi yeyote ataipenda SERIKALI yake?

RIP Msafiri Mbwambo
View attachment 139703 View attachment 139704
 
Last edited by a moderator:
Huo ndio uwezo wa Kikwete na ccm wote ulipofikia! muhimu ni kuwangoa tu! kwa ujumla huwezi kutawala nchi twiga wanasafirshwa hai,rais anakutana na wezi wa EPA unadanganya eti pesa zimerudishwa na wamekukabidhi kumbe uongo tu,huwezi kusaini mkataba tata wa tangu Richmund-Dowans-Symbioni ikulu,huwezi kuagizi jeshi,polisi,vikosi vya wanyamapori viuwe watu na Kinana jambazi mkuu wa tembo abaki,huwezi kutawala nchi kwa kuwauwa watu wa mtwara waliokuwa wanadai haki ya kujua gasi itawanufaishaje, na mengine mengi kama ulagai uliokwenye mafuta mazito yanasafirishwa na magari ya Rithiwan,hospitali hazina dawa,elimu imeshuka SASA WEWE UNAYESEMA NCHI INATAWALIKA ITATAWALIKAJE=====NI DHAIRI KWA HAYO YOTE NCHI HAITAWALIKI! tAKA USITAKE Dr. Slaa ni nabii na Rais wa mioyo ya watu!
 
babuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!! mzeee wa ndogo
mwambie first lady wa kuazima apunguze mkorogo
 
umechanganyikuwa green guard kwa ufadhili wa wachina wanaendesha mauaji nhhini nzima na mwenyekiyi anawapa vyeo mwigulu kamuhanda ahmad nsangi gai ni baadhi ya waliopandishwa vyeo baada ya kuhusishwa ba utekaji utesaji na mauaji

Hetu tujikumbushe hii video ya bukoba boys ya huyu GAIDI
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kizee kiongo duniani kama Slaa. Kizee cha siasa za matukio,haya sasa kimepata mtaji kwa kupindisha kauli ya Mhe JK! Haya kazi kwenu bavicha, chagueni mfuate maneno ya Lema or ya Kibabu Slaa.
mwongo mkubwa ni kizee jakaya kikwete utamsikia ni majina ya wauza unfa majina ta majangiri kumbe familia yake ndugu na rafiki zake wanahusika anaweweseka kuwataja
 
Je, JK angewashauri nini Wakristo ambao makanisa yao yamechomwa moto lakini wametulia. Mapadri wao wameuwawa lakini wametulia! Wengine wamemwagiwa tindikali lakini wamevumilia. Wamepigwa mabomu wakiwa katika ibada lakini bado wamevumilia! Je angeweza kuwaambia kuwa sasa uvumuliuvu basi kwa kuwa una kikomo? Angewaambia waache unyonge?

Kweli mkuu, nahisi kumbukumbu za mkuu wa kaya zinamushikeli, kwani angeyakumbuka haya, Pia akakumbuka na usemi wake kwamba ukiambiwa changanya na za kwako asingeropoka vile!
 
au labda Rais katumwa.. Baada ya kushindwa kutuvuruga ki dini,wameamua kuja hivi.
 
Hetu tujikumbushe hii video ya bukoba boys ya huyu GAIDI
mpango wa kijinga wa mwenyekiti wako wa ccm na naibu katibu mkuu uliwaacha uchi hamna akili hamuwezi kupanga hata propaganda
 
Last edited by a moderator:
umechanganyikuwa green guard kwa ufadhili wa wachina wanaendesha mauaji nhhini nzima na mwenyekiyi anawapa vyeo mwigulu kamuhanda ahmad nsangi gai ni baadhi ya waliopandishwa vyeo baada ya kuhusishwa ba utekaji utesaji na mauaji

Unapayuka kama mbayuwayu, huna hata pozi, unawaza gongo na damu za watu ili umfurahishe Slaa na Lema, na siasa za matamko na matukio! Vipi Mbowe bado hajatoa tamko?
 
Huo ndio uwezo wa Kikwete na ccm wote ulipofikia! muhimu ni kuwangoa tu! kwa ujumla huwezi kutawala nchi twiga wanasafirshwa hai,rais anakutana na wezi wa EPA unadanganya eti pesa zimerudishwa na wamekukabidhi kumbe uongo tu,huwezi kusaini mkataba tata wa tangu Richmund-Dowans-Symbioni ikulu,huwezi kuagizi jeshi,polisi,vikosi vya wanyamapori viuwe watu na Kinana jambazi mkuu wa tembo abaki,huwezi kutawala nchi kwa kuwauwa watu wa mtwara waliokuwa wanadai haki ya kujua gasi itawanufaishaje, na mengine mengi kama ulagai uliokwenye mafuta mazito yanasafirishwa na magari ya Rithiwan,hospitali hazina dawa,elimu imeshuka SASA WEWE UNAYESEMA NCHI INATAWALIKA ITATAWALIKAJE=====NI DHAIRI KWA HAYO YOTE NCHI HAITAWALIKI! tAKA USITAKE Dr. Slaa ni nabii na Rais wa mioyo ya watu!

Unaimba taarabu kama Katibu wako mkuu?
 
au labda Rais katumwa.. Baada ya kushindwa kutuvuruga ki dini,wameamua kuja hivi.

mbona hili suala la dini CHADEMA mnaliongelea sana, nini ilikuwa lengo lenu?
 
Unapayuka kama mbayuwayu, huna hata pozi, unawaza gongo na damu za watu ili umfurahishe Slaa na Lema, na siasa za matamko na matukio! Vipi Mbowe bado hajatoa tamko?
endelea kumfurahisha kikwete anayeingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe akumbuke msoga atapaona kama sayari ya mercury raisi anatangaza kupambana na wananchi wake zinamtosha kwelu
 
Idara 100 kifungu kidogo cha i na ii ya katiba ya jamhuri ya Tanzania inawalinda
 
au labda Rais katumwa.. Baada ya kushindwa kutuvuruga ki dini,wameamua kuja hivi.

Kwani nyie chadema mna mpango gani? Mbona mmebezi sana kwenye neno vurugu na umwagaji damu tu? Kwani nyie mkifanya siasa za kistaarabu bila kujichukulia sheria mkononi nani atawafuata? Au mna ajenda ya siri? Mi siwaelewi kabisa! Kutwa kucha mnalalama ooh taifa litaingia vitani! Lipigane na nani kama hakuna vurugu? Semeni mlilonalo moyoni, acheni kupotosha kauli ya mhe Rais.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom